| ▲ | Country |
| 1. | |
| 2. | |
| 3. | |
| 4. | |
| 5. | |
| 6. | |
| 7. | |
| 8. | |
| 9. | |
| 10. | |
| ▼ | Source: CIA World Factbook |
Unajua hawa jamaa wa CIA World Factbook wanapoona JK anasafori sana basi wanaconclude kuwa GDP Per capita ya MTanzania iko juu, kumbe tunchungulia kaburi!...huh!Lazma tu - apeal! Haiwezekani tusiwepo hapo!! Kuna mkono wa mtu, Au hata hii cdm wapo nyuma yake????
Lazma tu - apeal! Haiwezekani tusiwepo hapo!! Kuna mkono wa mtu, Au hata hii cdm wapo nyuma yake????
Lazma tu - apeal! Haiwezekani tusiwepo hapo!! Kuna mkono wa mtu, Au hata hii cdm wapo nyuma yake????
nimekusoma mkuu! Infact nitatangulia mbele na chupa yangu ya maji na kilo mbili zangu za pork, zitanifaa njiani, lol!mfumo kristo a.k.a kanisa katoliki lipo nyuma ya pazia....ijumaa lazima tuandamane..
Nipo my dear! nashangaa kwa nn nchi yetu haipo kama kivutio cha watalii?? yaani ina vituko acha kabisa! kuanzia watu wenyewe mpaka nchi yenyewe! Lord Have Mercy!ntakuunga mguu shost, mzima wewe?
umeona eeee, umeona my daddy ee?? lazma tuidai hii haki yetu kwa nguvu zetu! waache wachakachue mengine, hata hili nalo??Unajua hawa jamaa wa CIA World Factbook wanapoona JK anasafori sana basi wanaconclude kuwa GDP Per capita ya MTanzania iko juu, kumbe tunchungulia kaburi!...huh!
Hahaha...eti mnalalamika kwanini hampo!??
Mfumo Kristo a.k.a kanisa katoliki lipo nyuma ya pazia....Ijumaa lazima tuandamane..