HOMOSAPIEN
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 745
- 273
Ni mtabiri gani huyo muongo namna hii wakati gwiji la utabiri shehe Yahaya alishatutangulia kwenye haki
Sera nzuri zinazochipukia za madini,gesi,ardhi ndiyo mtabiri wa maendeleo na mchumi wa gazeti la economist la Marekani ameyaona hayo na kuyaandika katika gazeti lake miaka 3 iliyopita.