Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
Nafikiri ,nasema nafikiri, mtoa hoja alikuwa akimfananisha mtu masikini kwa maana ya mtu mwenye kipato kidogo kulinganisha na makundi mengine katika jamii.
Mtu wa aina hii atakuwa mkulima mdogo kabisa(subsistence peasant), na katika kundi hili wanaingia zaidi ya waTanzania 95%
Suala la kodi kwa kweli ni subjective from ones point of view.Mtu mdogo,masikini analipa kodi zote kutokana na kuwa yeye ni end user.Kwa kulinganisha tu mfanya biashara ana njia nyingi sana za si tu kutolipa kodi shihi lakini hata kuikwepa kabisa, kibiashara.
Hapa tunaenda sawa sasa, ila nataka nikusahihishe kitu kimoja mtu mdogo (end user) kodi inayo mwathili yeye pekee ni Indirect taxes, hizo ndizo anazo rundikiwa kama, VAT, stamp duty, excise duty etc. Direct taxes, end user hazimdhulu kabisa!
Last edited: