Dunamist
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 474
- 682
Enemax ingehusika. Na angetoa za kutoshaAsinge dead angepigwa bomba akatoa mbolea.
Enemax ingehusika. Na angetoa za kutoshaAsinge dead angepigwa bomba akatoa mbolea.
Tungewaambia relatives wake kuwa ducolax zimeisha,....hahahaaaa! Tunapiga kitu ENEMA tunachanganya maji ya omo na pilipili kichaa.Enemax ingehusika. Na angetoa za kutosha
Pua CAG angeona makosa hayo chadema lazima angeyaanika kwa uzuri kabisa. Lakini hayo makosa haoneshi. Afu hawa vijana wa lumumba wanapayuka tuHayo mambo ya kukwapua mbona CAG huwa hayaoni anapokagua wewe una nia ovu tu sababu pesa inayokaguliwa na CAG huwezi kukwapua akikagua sinataona pesa imetoka bila sababu. Usifikirie kila mtu mjinga wa matumizi ya pesa za umma.
Una hangaika nini mkuu? Unaweza shangaa kuja kutahamaki unaebishana nae ni Cyprian Musiba( Zero brain)Mleta mada sidhani kama una akili timamu kichwani au hujui kinachoendelea Tz.
Media zinaruhusiwa kurusha mambo kama haya? huoni wana vimemo vya kutorusha juu ya upinzani hasa CDM?
Bora CDM wamefanya hili kumteua mgombea uraisi kupitia CDM, nyie uteuzi mlifanyia wapi?
Power of Social Media...Mbona habari zinaenea tu bila hizo TV zao?!
Vingelipwa nadhani visingeacha kuonyeshaWewe ni mjinga!Ina maana hujui kuwa vyombo vya habari vya Tanzania vimewekwa mfukoni na mtu mmoja na kazi yake ni kumtumikia huyo mtu mmoja?!
Mkuu acha uonevu....huyu sio mjinga ,Ni mpumbavu!Wewe ni mjinga!Ina maana hujui kuwa vyombo vya habari vya Tanzania vimewekwa mfukoni na mtu mmoja na kazi yake ni kumtumikia huyo mtu mmoja?!
AaaaaiiiiseeeeMkuu acha uonevu....huyu sio mjinga ,Ni mpumbavu!
Kwa hiyo wewe una roho nzuri umempa haki yake? Jf raha sanaMkuu acha uonevu....huyu sio mjinga ,Ni mpumbavu!
Aisee inaweza,hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa mpunga.Yaani ile kusema MEDIA zimekatazwa kurusha matangazo yao ni TEKNIK ya kutaka warushwe bure.
Aisee hii imezidi ndoto za mchana.Katika watu ambao watanufaika sana katika uRais wa Lissu basi ni watu wa media. Jamaa ataijenga TBC1 mpya itayotangaza na habari za wapinzani, wengine wote watafuata nyayo. Zile sheria kandamizi zote zitafutwa.
Lissu amekuja kufungua milango yote iliyofungwa na watawala.
Lissu ni Mpango wa Mungu.
Ndugu zangu,
Napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai katika siku ya leo. Uongozi wa CHADEMA, katika kitengo cha media communication kimeprove failure katika jambo hili muhimu la kichama, na hii inanipa maswali mengi ya kujiuliza. Mojawapo ya maswali ni kama yafuatayo:..