Pongezi WanaMtwara! Pongezi Serikali ya CCM!

kama wamekubaliana gesi haitoki mtwara hapo sawa ila vinginevyo ni upuuzi mtupu..
Ukitembea uchi barabarani huku umevaa chupi kichwani watu wakakucheka .kukuzomea na kukurushia mawe. Ghafla ukarudi nyumbani ukavaa nguo na kurudi barabarani je unastahili kuomba kupongezwa na waliokucheka? Ccm shame on yuo and you will be responsible.for the killing of mtwara immocent people
 
Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.
But there's a blood there,open Ur macho bana.Kwa nn kusubiri dam???
 
ccm inabidi ifutwe kwa sababu inaendeshwa kinyume na katiba yake haina kamati kuu kwa zaidi ya miezi 3,hivyo inakosa sifa kuwa chama cha siasa bali ni genge la wahuni,wezi wa mali za taifa na kundi kuuwa wanachi wasio na hatia kwenye mikutano ya vyama pinzani futa wahuni hawa magamba ya kobe.:violin:
 
historia imeandikwa leo mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka ccm ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani mtwara na mikoa ya kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika ccm bado ni changuo la mikoa ya kusini.
Twashukuru hatimaye wana mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya mtwara na lindi.

hakuna kitu kama hicho,pinda ni kama amekuja kuchochea kuni mbichi tuh jikoni,,
hali imezid kuwa mbaya zaid,,

na kwa hakika mmezid kujitia kwenye hasara zaid
kama una bisha subiri uone uhalisia ulivyo..
 
mkuuthe big show
hebu njoo utueleze kama huyu mleta hoja anasema ukweli. Ni kweli mmeyamaliza na magamba?

yeyote yule aliye mtwara kwa sasa anautambua uhalisia ulivyo,,

ccm wenyewe wanajua hali ilivyo,alichokifanya pinda ni kuufunika moshi huku moto ukiendelea kufuka,,
ameulizwa huku bomba linajengwa ama halijengwi??kaishia kujiuma uma,atasema nini sasa?unadhan anaweza kwenda kinyume na boss wake??
Sasa kaanza kuweweseka na anashauri tume ya bunge isiundwe kwa nini??
Acha hiyo tume ije mjionee uozo wa wazi wazi na ulimbuken wa pinda,,
huku ngoma bado mbichi,subirin hivi punde mtajionea na kuskia wenywe.
 
hakuna kitu kama hicho,pinda ni kama amekuja kuchochea kuni mbichi tuh jikoni,,
hali imezid kuwa mbaya zaid,,

na kwa hakika mmezid kujitia kwenye hasara zaid
kama una bisha subiri uone uhalisia ulivyo..

kwa maneno mengine mkuu unamahanisha kuwa pinda kafunika moto kwa majani makavu ili usionekane au kaficha sigara mfukoni?
 
kifupi ccm imebakwa mtwara.,imelazimishwa kutenda kinyume na sera yake...R.I.P. ccm.!
 
Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.
naona kichwa ulipewa kufigia nywele yaani hata haufikirii hata kidogo wala kukumbuka wananchi wenzetu waliopoteza maisha yao juu ya hili suala la gesi! pole sana
 
Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.

Umeongea ukweli mtupu lakini umenichefua na hilo neno kwenye RED.

Hata mimi sikupenda siasa kuingizwa kwenye mambo yenye maslahi ya kitaifa lkn hiyo haikumaanisha naiunga mkono CCM. Kwangu mimi CCM ni janga na ulimwengu unapaswa kufahamu hivyo, lkn linapokuja suala la maendeleo ya nchi nitaunga mkono.

Naomba nikusahihishe kuwa, Wanamtwara waliongea na Pinda & Co kama viongozi kutoka serikalini na sio viongozi wa CCM. Kile hakikuwa kikao cha chama chenu 'kinukafu' chenye kutia kichefuchefu kwa rushwa na ubadhirifu.

Uzalendo kwanza!
 
hakuna kitu kama hicho,pinda ni kama amekuja kuchochea kuni mbichi tuh jikoni,,
hali imezid kuwa mbaya zaid,,

na kwa hakika mmezid kujitia kwenye hasara zaid
kama una bisha subiri uone uhalisia ulivyo..

Kama dunia hii ingeongozwa kwa mawazo yako, hakika hakuna jiwe lingekaa juu ya lingine. Ungejenga hapa leo, kesho ukabomoa kwa kutojua unataka nini
 
Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.

Mtoto kadanganywa na pipi aache kulia.
 
umeongea ukweli mtupu lakini umenichefua na hilo neno kwenye red.

Hata mimi sikupenda siasa kuingizwa kwenye mambo yenye maslahi ya kitaifa lkn hiyo haikumaanisha naiunga mkono ccm. Kwangu mimi ccm ni janga na ulimwengu unapaswa kufahamu hivyo, lkn linapokuja suala la maendeleo ya nchi nitaunga mkono.

Naomba nikusahihishe kuwa, wanamtwara waliongea na pinda & co kama viongozi kutoka serikalini na sio viongozi wa ccm. Kile hakikuwa kikao cha chama chenu 'kinukafu' chenye kutia kichefuchefu kwa rushwa na ubadhirifu.

uzalendo kwanza!

huelewi na hutoweza kuelewa,waliongea na pinda hata chembe ya wana kusini hawawez fika,ni baadhi ya wawakilishi waliokwenda kusikiliza hoja na kutoa hoja zao on behalf of kusini kisha walete mrejesho kwa wananchi,pinda asiongopee umma,kuna mkutano gani alioufanya wa hadhara na wana kusini zaid ya kuongea na hao wawakilishi na kusikiliza hoja zao?
Tunashangaa badala ya kutolea clarifications yeye anakuja kutangaza mgogoro umeisha eti kisa kaongea na hao wawakilishi huku akijizuka kwa utulivu ambao wana nchi wameuonesha kwa kipindi hiki,hiyo haitasaidia hata kidogo,,
pinda amekuja huku kushikilia msimamo wa boss wake jk,nikuulze ww kama kweli unafuatilia,unajua majibu ya pinda katika haya yaliyozungumzwa huku anayoyatoa kwenye vyombo vya habari??
Kama hujui kitu ni bora tu uka kaa zako kimya.
 
historia imeandikwa leo mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka ccm ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani mtwara na mikoa ya kusini kwa ujumla. poleni upepo umeshabadilika ccm bado ni changuo la mikoa ya kusini.
twashukuru hatimaye wana mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya mtwara na lindi.
uchaguzi umefanyika lini???hayo makubaliano mmeshatekeleza???unajua kama pinda ni bingwa kwa kuhairisha migogoro??kama unafikiri ccm iko salama kusini subiri kishindo kikubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Back
Top Bottom