Pongezi WanaMtwara! Pongezi Serikali ya CCM!

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.
 
kama ni kweli basi ni kheri kubwa sana, lakini tungependa ufafanuzi zaidi.
 
kinyesi.
 
kama wamekubaliana gesi haitoki mtwara hapo sawa ila vinginevyo ni upuuzi mtupu..
 
Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.
Kwa taarifa yako moto ndio kwanza unaongezewa kuni na petrol. alicho fanya PINDA ni ujanja wa kisiasa. watu wa Mtwara hawajaridhika hata kidogo kwani amehitimisha safari yake kwa kuongea na wananchi.
 
Haaaaa inanichekesha na kunifurahisha sana kuona umakini na utatuaji wa haki ya nyonge inavyo tatuliwa/kusikilizwa kwa hoja nyepesi ya kisingizio ya kuwa ni ubinzani unajitafutia umaarifu,sasa kama unamadhaifu kwanini tusi jitanue na kujikuza kisiasa? Mbona penye ukweli hatuingilii,jipeni moyo kuwa kusini ni mtaki wenu kisiasa tuu wamesha elimika.mbona kasakazini na kanda ya ziwa kwa walio elimika hamsemi ni mtaji wenu kisiasa?
 
Kwanza kauli ya pinda bado inawalakini,inasema gesi itakayosafishwa kwenda dar itachakatwa mtwara,vp kuhusu kuzalishw umeme mtwara na ndio usafirishwe kwenda dar?
 
Wewe unaishi DAR. Ungekuwa Mtwara, 100% ww ni miongoni ya wanaopinga dhuluma. "Wana Mtwara Gas kwanza uhai baadae". Kuwa mwana Mtwara pingana na dhuluma, uhai sio kitu, ukiwa kama serikali utadhalilika, sababu unaemdhurumu kila kunapokucha anakuwa na kitu kipya na kizuri zaidi ya jana. Tuache dhuluma kaka tutaumbuka.
 
Jamani tupatieni habari nini kilijiri jana huko Mtwara. Mkuu MAFILILI sijakupata. Funguka
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuua, kuchoma boma na mali za makada wenu ndo mnatambua kuwa Mtwara kuna watu wanaopaswa kusikilizwa! Wapinzani na wanamtwara ndio wameshinda maana Pinda kasema yaliyokuwa yakihubiriwa na wapinzani. KWELI HAKI HAIOMBWI BALI INADAIWA (Lema) Kwa hiyo bomba ndio basi?
 
Baada ya maCCM kuuwa, ndio mnasema mnawajali? Hao watu7 waliowawa na wengine kujerruhiwa daima damu zao zitawatafuna2015
 
Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.

Sidhani kama umetumia busara kutoa pongezi kwa serikali ya CCM pongezi wanatakiwa wapewe wananchi wa Mtwara Pekee kwa kuishinda Serikali ya CCM kwani tukirudi nyuma Kauli za Rais hotuba ya mwisho wa mwezi na kukaribisha mwaka 2013, Mawaziri husika wa sekta hiyo na makada walio wengi wa CCM walikuwa wakiponda hoja za wana Mtwara na kwa udhaifu huu wa serikali kwa sakata la Mtwara tutarajie maeneo mengine nchini watu watadai rasilimali zao ziwanufaishe na utaendelea kutoa pongezi sana tu mwaka huu.
 
Baada ya kuua, kuchoma boma na mali za makada wenu ndo mnatambua kuwa Mtwara kuna watu wanaopaswa kusikilizwa! Wapinzani na wanamtwara ndio wameshinda maana Pinda kasema yaliyokuwa yakihubiriwa na wapinzani. KWELI HAKI HAIOMBWI BALI INADAIWA (Lema) Kwa hiyo bomba ndio basi?

Na itabidi fedha za rushwa walizochukua kwa mradi huo na kuzificha Uswiss wazirudishe kwa wenyewe.
 
Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.

Huu si ushabiki bali ni upuuzi wa kupitiliza, nashindwa hata pakuanzia kukujadili, chukua muda kidogo kujitafuta wewe ni nani, kisha uililie kidogo nafsi yako, alafu urudi kusoma huu ujinga wako
 
Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna wati hapa jamvini walitegemea muafaka hautafikiwa ili wanufaike kisiasa, hongereni wana Mtwara kwa kuweka mbele utaifa pamoja na kuheshimu viongozi kutoka CCM ambao mliwapa kura za kishindo.
Funzo liwafikie viongozi wa vyama vya upinzani ambao mlitumia suala la Mtwara (gesi) kujiimarisha kisiasa mkoani Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla. Poleni upepo umeshabadilika CCM bado ni changuo la mikoa ya Kusini.
Twashukuru hatimaye wana Mtwara wamepata ukweli kuwa serikali yao inawajali, inawapenda na ina nia nzuri kwa manufaa ya Mtwara na Lindi.

na wewe naona unaandika kimaga.mbamaga.mba tu,ina maana bunge limeunda tume ya nini au ndo mwendelezo wa kutafuna hela za wadanganyika?
 
Wala sielewi ukweli ni upi. Maswali yanazidi kuwa mengi kuliko majibu. Nani wa kumuamini? Kwa nini serikali huwa haisemi na kuweka wazi kila kitu kwenye miradi mpaka maafa yatokee?
 
Back
Top Bottom