PONGEZI:#TeamKiba tuzo 5 #TeamDiamond tuzo 2

PONGEZI:#TeamKiba tuzo 5 #TeamDiamond tuzo 2

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,309
Reaction score
15,289
Sitaki kuamini kwamba Tuzo hizi zina upendelea.

Naamini kwamba tuzo zimetokana na jitihada binafsi za washiriki.

Binafsi ningependa kuwapa Pongezi za kutosha kwa viongozi wote wa #TeamKiba .
 
Fid kukosa tuzo haijawagusa?

daaa mm nashanga sana aisee mkongwe kama fid Q kutochukua tuzo hii sijuibimekaaje lkn ndio hivyo ukali wake sio kwa tuzo coz hata roma kuna mstari wake ashawahi imba juu ya hizi tuzo
 
Back
Top Bottom