Pongezi Mkoba na mahakama

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
Natoa pongezi kwa rais wa CWT kwa msimamo ulioonyesha, unastahili pongezi maana hujaonyesha kutetereka. Aidha pongezi kwa walimu wengi kwa kuitikia mgomo huu kwa kushikamana na kuwa kitu kimoja. Nawalaani baadhi ya walimu wasaliti wachache kwa kutoshiriki mgomo katika siku hii ya kwanza. Mnataka CWT ifanyaje sasa.

Nimepata taarifa kuwa kuna shule chache sana huku Mufindi ambazo hazikushiriki mgomo mojawapo ni shule ya sekondari ya Nyololo, walimu wake walienda shule jambo ambalo linapaswa kulaaniwa na walimu wote. Ukombozi wetu walimu utatokana na juhudi zetu wenyewe.

Nichukue nafasi hii kuishukuru mahakama kuu kitengo cha kazi kwa kusimamia haki hasa katika suala la mgomo huu wa walimu kwa kutokuinterfere HONGERENI SANA KWA KUSIMAMIA HAKI. Kwa vile CWT tumefuata taratibu zote tunaomba tuachieni uwanja na serikali hii dharimu isiyojali utu bali viongozi wamejaa ubinafsi na kutupuuza walimu.

MAPAMBANO YA KUDAI HAKI YANAENDELEA ALUTA CONTINUA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wasi wasi wangu tu ni maisha yake.. hawa watawala sikuhizi hata akili hawatumii, wanaua wanaharakati wanavotaka hata hawako ma kini wala kufikiria matokeo, MUNGU amkulinde Mkoba
 
CWT wamefanya mambo yao kwa umakini sana...JK na serikali yake kwa kweli wanashindwa kuongoza in all fronts..hivi kwa nini usijiuzuru JK uitishwe uchaguzi wa mapema ...
 
Nawaunga mkono. Natumaini kesho itakuwa zaidi hata wale ambao hawakugoma malaika atawatembelea this niight
 
Viongozi wakuu wa CWT ni lazima walindwe na walimu wenyewe 24/7.
Ulinzi ni jukumu letu wenyewe wananchi,
Polisi wana vaa uniform tu.
 
unajua bana hakunaga mtu mnyonge duniani. utaweza sema fulan hata nifanyeje hafurukuti kwangu kumbe bana ni tofauti kabisa, atavumilia sana lakini ipo siku ataamka tu na kuonyesha yeye ni nani.

huu ni wakati wetu waalim kuonyesha kwamba sababu tunayo, nguvu tunayo na nia tunayo kamwe htaurudi nyuma mapambano yaendelea............ALUTA CONTINUA.
 
wasi wasi wangu tu ni maisha yake.. hawa watawala sikuhizi hata akili hawatumii, wanaua wanaharakati wanavotaka hata hawako ma kini wala kufikiria matokeo, MUNGU amkulinde Mkoba

wasiwasi ungekuwepo kama wangeshirikisha wanaharakati lakini hili kunji cwt wameandaa peke yao tena kwa umakini mkubwa.
 
unajua bana hakunaga mtu mnyonge duniani. utaweza sema fulan hata nifanyeje hafurukuti kwangu kumbe bana ni tofauti kabisa, atavumilia sana lakini ipo siku ataamka tu na kuonyesha yeye ni nani.

huu ni wakati wetu waalim kuonyesha kwamba sababu tunayo, nguvu tunayo na nia tunayo kamwe htaurudi nyuma mapambano yaendelea............ALUTA CONTINUA.

Mh...!!! Kumbe tupo wengi humu..na wewe you are a teacher???
 
Heri shujaa aliyekufa kuliko mwoga anaeishi, walimu acheni woga kwani woga ni dhambi kubwa kuliko uzinzi.Kesho moto uwe mkubwa mara 700 zaidi wale ambao tulienda shule leo kimakosa kesho kaa hom kula zako bata mpaka kuku washangae
 
Back
Top Bottom