Pongezi Mkoba na mahakama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi Mkoba na mahakama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nkisumuno, Jul 30, 2012.

 1. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Natoa pongezi kwa rais wa CWT kwa msimamo ulioonyesha, unastahili pongezi maana hujaonyesha kutetereka. Aidha pongezi kwa walimu wengi kwa kuitikia mgomo huu kwa kushikamana na kuwa kitu kimoja. Nawalaani baadhi ya walimu wasaliti wachache kwa kutoshiriki mgomo katika siku hii ya kwanza. Mnataka CWT ifanyaje sasa.

  Nimepata taarifa kuwa kuna shule chache sana huku Mufindi ambazo hazikushiriki mgomo mojawapo ni shule ya sekondari ya Nyololo, walimu wake walienda shule jambo ambalo linapaswa kulaaniwa na walimu wote. Ukombozi wetu walimu utatokana na juhudi zetu wenyewe.


  Nichukue nafasi hii kuishukuru mahakama kuu kitengo cha kazi kwa kusimamia haki hasa katika suala la mgomo huu wa walimu kwa kutokuinterfere HONGERENI SANA KWA KUSIMAMIA HAKI. Kwa vile CWT tumefuata taratibu zote tunaomba tuachieni uwanja na serikali hii dharimu isiyojali utu bali viongozi wamejaa ubinafsi na kutupuuza walimu.

  MAPAMBANO YA KUDAI HAKI YANAENDELEA ALUTA CONTINUA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  wasi wasi wangu tu ni maisha yake.. hawa watawala sikuhizi hata akili hawatumii, wanaua wanaharakati wanavotaka hata hawako ma kini wala kufikiria matokeo, MUNGU amkulinde Mkoba
   
 3. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,651
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nauliza wakuu, je? Hawa jamaa hawawezi kuzuia mshahara wa mwezi huu?
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,456
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  CWT wamefanya mambo yao kwa umakini sana...JK na serikali yake kwa kweli wanashindwa kuongoza in all fronts..hivi kwa nini usijiuzuru JK uitishwe uchaguzi wa mapema ...
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,853
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nawaunga mkono. Natumaini kesho itakuwa zaidi hata wale ambao hawakugoma malaika atawatembelea this niight
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,336
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Huo utakuwa moto mwingine,usiozimika!!!Wasijaribu kabisaaaa!!!
   
 7. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 42,722
  Likes Received: 8,092
  Trophy Points: 280
  ngoja niwah msitu wa pande, naweza kumuokoa m2.
   
 8. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 707
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Viongozi wakuu wa CWT ni lazima walindwe na walimu wenyewe 24/7.
  Ulinzi ni jukumu letu wenyewe wananchi,
  Polisi wana vaa uniform tu.
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,284
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  unajua bana hakunaga mtu mnyonge duniani. utaweza sema fulan hata nifanyeje hafurukuti kwangu kumbe bana ni tofauti kabisa, atavumilia sana lakini ipo siku ataamka tu na kuonyesha yeye ni nani.

  huu ni wakati wetu waalim kuonyesha kwamba sababu tunayo, nguvu tunayo na nia tunayo kamwe htaurudi nyuma mapambano yaendelea............ALUTA CONTINUA.
   
 10. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,260
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  wasiwasi ungekuwepo kama wangeshirikisha wanaharakati lakini hili kunji cwt wameandaa peke yao tena kwa umakini mkubwa.
   
 11. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,224
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  wewee wakileta hyo ndo watajua hasira za hawa watu zpo wapi mana hata wasio goma watagoma totaly zen hali itakua mbaya
   
 12. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,085
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  usihofu wewe
   
 13. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Mkoba Gratian hatakuwa home toka juzi wasimULIMBOKA
   
 14. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka usiogope...wasipotulipa this month, watalipa next month ikiwa na ongezeko la maana!!! Wory out...LIWALO NA LIWE....!!
   
 15. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh...!!! Kumbe tupo wengi humu..na wewe you are a teacher???
   
 16. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Pse itisheni mkutano na wazee wa Dar es Salaam.
   
 17. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hii game inaweza kupigwa kule Kazimzumbwi. Wadau wa mitaa hiyo kaeni chonjo.
   
 18. N

  Njangula Senior Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mie mkuu tena ndani ya Ludewa.
   
 19. M

  Mendelian Inheritanc Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heri shujaa aliyekufa kuliko mwoga anaeishi, walimu acheni woga kwani woga ni dhambi kubwa kuliko uzinzi.Kesho moto uwe mkubwa mara 700 zaidi wale ambao tulienda shule leo kimakosa kesho kaa hom kula zako bata mpaka kuku washangae
   
 20. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,706
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hata mimi teacher mkuu
   
Loading...