Pongezi kwa JF Dar Wing

mbona jana ukanichunia? sikukuona ujue! japo siwezi kukulaumu, nilichelewa kufika!

Mamito nisamehe tu bure.... Nilikuja kabla hujaja na kuondoka kabla hujafika nahisi hiyo ndo sababu.Nilikuwa na ratiba tite sana....
 

KOKUTONA nice idea i like it!!!!

Yan hapa nakopi na kupest....... Asante saaaana¡¡¡
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha KOKUTONA hiyo babukubwa!

 
Last edited by a moderator:
Mtani Mwita Maranya mbona uliingia mitini?

Mtani Ruttashobolwa nilipata dharura dakika za lala salama. Kimwili sikuwa nanyi lakini kiroho tulikuwa pamoja. Hii party nilikuwa nimeipania sana lakini ndo hivyo tena nikashindwa kufika.

Mzee Mtambuzi kwanini hukufikisha salamu zangu kwa wahusika? Jana mama ngina hakuwepo nani alikuwa amekutight kiasi hicho?
 
Last edited by a moderator:
Hivi ulikuwepo??ulikaa wapi?

amu shostitooo nilikuwepo ila nilikaa muda mfupi saana. Nilikaa meza.moja na Paloma na Madame B na baada ya Champeign kufunguliwa niliondoka! Pole next time nitakaa mpaka jogoo akate rufaa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ulinitambua na ukanisalimia sana mwaJ.... Wakati twaingia ulikuja nyuma yetu ukatupita ukatusalimia na ukaingia kabla yetu....

Nilipenda tabasamu lako... Je utapenda kuwa wifi yangu make kakaangu hajaoa bado!!??

Ha ha ha haaaaaa! Basi ni kwa vile hatukuongea maana sie tulikuwa wa kwanza kuondoka. Kuhusu uwifi mbona umechelewa shosti? Ila tunaweza kuwa mawifi kwa kuwapa mdogo wangu.
 
Ha ha ha haaaaaa! Basi ni kwa vile hatukuongea maana sie tulikuwa wa kwanza kuondoka. Kuhusu uwifi mbona umechelewa shosti? Ila tunaweza kuwa mawifi kwa kuwapa mdogo wangu.

Sasa hapa ndipo patamu. Huo mpambano wa kumpata mdogo wako utakuwa mkali sana.

Vin Diesel ameshaanza kutuma salamu. Dadangu charminglady nae anatuma salamu kwa niaba ya mdogo wetu!

Binti yangu Zion Daughter amenisimulia ulivyokuwa umelipuka si kitoto. Pia amekusifia ulivyokuwa unamuonyesha bashasha muda wote wa shuhuli!
 
Last edited by a moderator:
Ambe musubhati charminglady nkwigule mono bhabha.
Sitarajii kusikia umeshindwana na wifi yako mwaJ kwani nimeambiwa mawifi wa siku hizi hamna magubu!

Kumbeeeee.... basi km ni hivo hakuna shida. Tayari ni my wifi.... mwaJ kuanzia leo heshima iwepo mie ndiye dada mkubwa a.k.a wifiyo!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaaaa! Basi ni kwa vile hatukuongea maana sie tulikuwa wa kwanza kuondoka. Kuhusu uwifi mbona umechelewa shosti? Ila tunaweza kuwa mawifi kwa kuwapa mdogo wangu.

Hahaaaaa.... Tangiapo wewe ni wifi yangu kwa Mwita Maranya!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Arusha hawana ubavu wa kuwafunika jf Dar acha Dar iitwe Dar unajua kwa nn serikali imegoma kuhamia Dom? Dar kutamu
 

Sasa shemeji lini tunaanza vikao...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Ha ha haaaa! Ngoja niutazamie huo mpambano atakaye shinda anapata binti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…