Membe hawezi kuwa Rais wa nchi hii isave hii comment yangu hata 2025 pia muda wake ulikuwa 2015MEMBE AKICHUKUA FORM... ME WAKWANZA KUPANGA FOLENI

Hahahaha, asipoteze muda. Dkt Magufuli ndiyo mpango mzima wa town.View attachment 1169300
Kwanza nikiri kwamba wewe ni mtu shujaa sana, wale waliokuunderestimate hapo mwanzoni kutokana no move zako za kimyakimya zisizoacha traces sasa wanaumia kichwa na kushangazwa na jinsi unavyosukuma kete kwa utulivu.
Wao walikuwa wa kwanza kusema Huyu Membe yuko wapi, mbona hatumsikii?, Ulipojitokeza na kuanza kusikika walewale wakaanza kusema, Oooh wastaafu msiongeeongee!. Ajabu sana hii, Wazungu wanasema you are damn if you do and you are damn if you don't!
Mwezi uliopita ulisimama kiume kukemea matendo ya kinyama ya utekaji nchini, Kishindo na mwangwi wa kauli yako ulisikika vilivyo, hazikupita wiki mbili msaidizi wako akatekwa!. yote hii ni kujaribu kukprove wrong kwamba "tutakuonyesha kuwa sisi ni akina nani". Lakini wasichokijua ni kuwa wananchi hatupendi mambo ya Kiinterahamwe Interahamwe, Hatupendi ukatili, na mambo ya uonevu.
Lakini juzi hapa ndo umefunga kazi moja kwa moja, Waliovujisha sauti za mazungumzo yako walitegemea utanywea, utaogopa na kwa kufanya hivyo watakuwa wameua ndege wawili kwa jiwe moja, kwamba wamekuchafua mbele ya jamii lakini pia kukutisha, kukuogopesha. Lakini aaaah wapi ukaibuka ukasimama ukasema NDIYO HIYO SAUTI ILIYODUKULIWA NI YANGU SO WHAT?
Uzuri wa kauli hii ni kwamba sasa sisi wananchi tunasympathize na wewe zaidi kwa sababu umedukuliwa ukiwa na mazungumzo private, kauli ulizozingumza hata sisi raia wa kawaida huwa tunazizungumza daily na wakati mwingine huwa tunatoa kauli kali zaidi kuliko ulizotoa!. KAMA WANAJUA SANA KUDUKUA BASI WADUKUE WANANCHI MILIONI 10 AMBAO TUKIWA PRIVATE TUNAPIGA "NYUNDO" KWELIKWELI, LAKINI TUKIWA PUBLIC TUNASIFU JUHUDI!
Mheshimiwa, Umesaidia Jamii kuionyesha kuwa mambo ya udukuzi yana consequence zake yakitumika kiholelaholela, wapo wadukuzi professionals wakijua kuwa bongo Udukuzi "Dili" watakuja hapa na kudukua watu nyeti halafu wawablackmail kwa ajili ya concessions kibao!. HAWA WANAODUKUA NA KUONA SIFA KUZIACHIA WAJUE WANAKARIBISHA WAHALIFU WAKUBWA WANAOWEZA KUHATARISHA USALAMA WA NCHI YETU!
Lakini Kikubwa Kauli yako ya "KIBABE" imetusaidia kuyaweka makampuni ya simu kwenye kikaango, leo yatajua kuwa japo yanatudukua lakini kuna consequence zake yakianza kuachiaachia maongezi yetu ya Faragha, Leo kama Voda watapoteza mteja hata mmoja nalo ni somo kuwa you can't be a pirate wa taarifa za watu na ku go away with it kirahisi
Kwa hiyo nimalizie kwa kusema, Pole sana kwa kudukuliwa, Kwa hakika Udukuzi uliofnaywa dhidi yako ni kinyume cha sheria za nchi. Maneno uliyoongea kwenye ule udukuzi ni ya kawaida sana, sisi wananchi trust me tunaongea makali zaidi ya hayo.
Lakini pia umetusaidia kujua kuwa kumbe wewe ni mtu wa watu, jinsi ulivyokuwa ukiongea kwa passion na kwa heshima na yule katibu kata inaonyesha kwamba wewe ni mtu wa watu mwenye kuheshimu watu wote mkubwa kwa mdogo na kwamba wewe siyo "ELITIST"
Sasa basi kama nilivyokuandikia barua ya wazi siku zilizopita, endelea kusimama kiume na kuonyesha msimamo usioyumba kwa mujibu wa Sheria za nchi na kanuni za Chama cha Mapinduzi. Wananchi wanataka Unafuu wa maisha dhidi ya hali hii ngumu sana waliyokuwa nayo, Watumishi wanataka stahiki zao kwa mujibu wa sheria ya wafanyakazi,Wakulima wa korosho wanataka kulipwa haki zao baada ya zao lao kuvurugwa, na wastaafu wanataka walipwe fedha zao bila kusumbuliwa Lakini kikubwa wananchi wanataka hali ya hofu nchini itoke, watu waache kutekwatekwa, na vijana wapate ajira.
Kwa hiyo "BRAZA" MEMBE, Ni muhimu kuchukua Fomu, Who cares, Chukua fomu mambo mengine yaache yaende kwenye process, kama ipo ipo tu, kama haipo basi kwani shida iko wapi?
Hahahaha, asipoteze muda. Dkt Magufuli ndiyo mpango mzima wa town.
Hii habari umeiandika kufurahisha nafsi yako na hili umerithibitisha kwa hii comment yako.2020 CCM tuleteeni Bernard Cammilius Membe "Nyundo" , Kamarade asiyehitaji kuongea saana kuonyesha kuwa ni kamanda makini aliyekamilika asiyeogopa kitu isipokuwa wananchi baaasi
Mara ya mwisho Membe kuo gea mwezi umepita wafuasi wake ndiyo wenye keleleNchi nzima ipo kwenye terror ila walao Membe anaongea!
Walao!
Achukue fomu tu huko CCM!
I cant wait to see terror in Jiwe’s eyes aisee!
It will be monumental!
Membe hawezi kuwa Rais wa nchi hii isave hii comment yangu hata 2025 pia muda wake ulikuwa 2015
Hatuitaji majembe tunataka rais mwelediYaani tuache kulichagua jembe JPM tumchague Membe?
magufuli mwenyewe kadukuliwa mara zote ha ha haJasusi alodukuliwa, angekuwa true jasusi angekuwa anajua simu hudukuliwa.
Magu sio jasusimagufuli mwenyewe kadukuliwa mara zote ha ha ha
Mbona mnamdanganya Membe
sidhani kaa wanaccm yoyote anaweza lete change hapa kwetu, nini wanaccm anataka kufanya ambacho hio ccm yake haijafanya kwa zaidi ya miaka 50? mimi naona kuchagua wanaccm yeyote hapo 2020 ni issue itakuwa ni NYANI NI WALE WALE MUSITU NDIO UMEBADILIKA, yaani ccm ni ile ile ila nyani (membe) ndio tofauti lakini damu ya ccm ni ile ile, hakuna tofauti ya membe na magufuli, same policies, same ideas, same party, same plans, same theft, same thinking, only change will be from magufuli to membeView attachment 1169300
Kwanza nikiri kwamba wewe ni mtu shujaa sana, wale waliokuunderestimate hapo mwanzoni kutokana no move zako za kimyakimya zisizoacha traces sasa wanaumia kichwa na kushangazwa na jinsi unavyosukuma kete kwa utulivu.
Wao walikuwa wa kwanza kusema Huyu Membe yuko wapi, mbona hatumsikii?, Ulipojitokeza na kuanza kusikika walewale wakaanza kusema, Oooh wastaafu msiongeeongee!. Ajabu sana hii, Wazungu wanasema you are damn if you do and you are damn if you don't!
Mwezi uliopita ulisimama kiume kukemea matendo ya kinyama ya utekaji nchini, Kishindo na mwangwi wa kauli yako ulisikika vilivyo, hazikupita wiki mbili msaidizi wako akatekwa!. yote hii ni kujaribu kukprove wrong kwamba "tutakuonyesha kuwa sisi ni akina nani". Lakini wasichokijua ni kuwa wananchi hatupendi mambo ya Kiinterahamwe Interahamwe, Hatupendi ukatili, na mambo ya uonevu.
Lakini juzi hapa ndo umefunga kazi moja kwa moja, Waliovujisha sauti za mazungumzo yako walitegemea utanywea, utaogopa na kwa kufanya hivyo watakuwa wameua ndege wawili kwa jiwe moja, kwamba wamekuchafua mbele ya jamii lakini pia kukutisha, kukuogopesha. Lakini aaaah wapi ukaibuka ukasimama ukasema NDIYO HIYO SAUTI ILIYODUKULIWA NI YANGU SO WHAT?
Uzuri wa kauli hii ni kwamba sasa sisi wananchi tunasympathize na wewe zaidi kwa sababu umedukuliwa ukiwa na mazungumzo private, kauli ulizozingumza hata sisi raia wa kawaida huwa tunazizungumza daily na wakati mwingine huwa tunatoa kauli kali zaidi kuliko ulizotoa!. KAMA WANAJUA SANA KUDUKUA BASI WADUKUE WANANCHI MILIONI 10 AMBAO TUKIWA PRIVATE TUNAPIGA "NYUNDO" KWELIKWELI, LAKINI TUKIWA PUBLIC TUNASIFU JUHUDI!
Mheshimiwa, Umesaidia Jamii kuionyesha kuwa mambo ya udukuzi yana consequence zake yakitumika kiholelaholela, wapo wadukuzi professionals wakijua kuwa bongo Udukuzi "Dili" watakuja hapa na kudukua watu nyeti halafu wawablackmail kwa ajili ya concessions kibao!. HAWA WANAODUKUA NA KUONA SIFA KUZIACHIA WAJUE WANAKARIBISHA WAHALIFU WAKUBWA WANAOWEZA KUHATARISHA USALAMA WA NCHI YETU!
Lakini Kikubwa Kauli yako ya "KIBABE" imetusaidia kuyaweka makampuni ya simu kwenye kikaango, leo yatajua kuwa japo yanatudukua lakini kuna consequence zake yakianza kuachiaachia maongezi yetu ya Faragha, Leo kama Voda watapoteza mteja hata mmoja nalo ni somo kuwa you can't be a pirate wa taarifa za watu na ku go away with it kirahisi
Kwa hiyo nimalizie kwa kusema, Pole sana kwa kudukuliwa, Kwa hakika Udukuzi uliofnaywa dhidi yako ni kinyume cha sheria za nchi. Maneno uliyoongea kwenye ule udukuzi ni ya kawaida sana, sisi wananchi trust me tunaongea makali zaidi ya hayo.
Lakini pia umetusaidia kujua kuwa kumbe wewe ni mtu wa watu, jinsi ulivyokuwa ukiongea kwa passion na kwa heshima na yule katibu kata inaonyesha kwamba wewe ni mtu wa watu mwenye kuheshimu watu wote mkubwa kwa mdogo na kwamba wewe siyo "ELITIST"
Sasa basi kama nilivyokuandikia barua ya wazi siku zilizopita, endelea kusimama kiume na kuonyesha msimamo usioyumba kwa mujibu wa Sheria za nchi na kanuni za Chama cha Mapinduzi. Wananchi wanataka Unafuu wa maisha dhidi ya hali hii ngumu sana waliyokuwa nayo, Watumishi wanataka stahiki zao kwa mujibu wa sheria ya wafanyakazi,Wakulima wa korosho wanataka kulipwa haki zao baada ya zao lao kuvurugwa, na wastaafu wanataka walipwe fedha zao bila kusumbuliwa Lakini kikubwa wananchi wanataka hali ya hofu nchini itoke, watu waache kutekwatekwa, na vijana wapate ajira.
Kwa hiyo "BRAZA" MEMBE, Ni muhimu kuchukua Fomu, Who cares, Chukua fomu mambo mengine yaache yaende kwenye process, kama ipo ipo tu, kama haipo basi kwani shida iko wapi?
sidhani kaa wanaccm yoyote anaweza lete change hapa kwetu, nini wanaccm anataka kufanya ambacho hio ccm yake haijafanya kwa zaidi ya miaka 50? mimi naona kuchagua wanaccm yeyote hapo 2020 ni issue itakuwa ni NYANI NI WALE WALE MUSITU NDIO UMEBADILIKA, yaani ccm ni ile ile ila nyani (membe) ndio tofauti lakini damu ya ccm ni ile ile, hakuna tofauti ya membe na magufuli, same policies, same ideas, same party, same plans, same theft, same thinking, only change will be from magufuli to membe
Mkuu Membe ni mtu wa kawaida sana na hana sifa yoyote ya kuwa kiongozi mkuu wa Nchi hii. Haya mapambo mpambeni lakini mwisho wa siku mtatukumbuka. Hakuna mtu anaweza mchagua Membe kuwa Rais wa Nchi hii. Hayupo.View attachment 1169300