Pongezi kwa Benard Cammilius Membe

Pongezi kwa Benard Cammilius Membe

Hakun
Hakuna cha maana alichofanya hata ktk taasisi yake ya zamani ya ukachelo zaidi ya majungu na fitina,maana ktk vipindi vyao ndipo tumepigwa Sana na wajanja na yeye kama kachelo mbobezi alifanya nini ktk ngazi yake? Ki ukweli hawezi kuwa Rai's wa Tanzania kamwe
wewe afadhali kipindi hicho waliwanasa waliokutaka kupindua serikali ya JKN. Siku hizi mazoba yanasikiliza hadi mipasho ya wanawake halafu yanaiachia!! Tuna vibaka TISS kibao siku hizi.
 
Ni tatizo la polisi,, hata JPM amewahi waaonya kuhusu uzubavu wao.
Tatizo la JPM ni watu wasiojulikana. Na mimi sitompa kura yangu kwa sababu hiyo. Maovu yanayofanywa na "watu wasiojulikana" yamezidi na aidha anawafuga au amewashindwa
 
  • Hatuhitaji raisi bingwa wa kupiga push up bali tunataka raisi bingwa wa kupambana na umasikini wa watu wetu,
  • Hatuhitaji raisi bingwa wa kupiga vita ufisadi mdomoni, Tunahitaji raisi mwenye kujenga taasisi imara za kupiga vita ufisadi na tuone kwa vitendo ufisadi huo ukipigwa
  • Hatuhitaji raisi mpenda kuonekana kwenye TV kila siku, Tunahitaji Rais mpenda utulivu mwenye kukaa chini na kuwaza na kuwazua atatatua vipi matatizo ya wananchi kuliko kuonekana LIVE kwenye TV hata kwa vitu vya kawaida vya kuapisha wateule!.
  • Hatuhitaji Raisi ambaye kwake siasa ni kutumia vyombo vya dola kudhibiti wapinzani wake, tunahitaji Raisi mwenye ujasiri wa kujibu hoja kwa hoja.

Twende na Membe 2020, huyu bosi yuko njema amejiandaa na anajua anafanya nini
 
Yaani tuache kulichagua jembe JPM tumchague Membe?
Hujakatazwa, kipimo cha akili yako umemuona huyo jembe sawa shida iko wapi?
Hapa hatuzungumzii kuchagua Rais bali tunazungumzia atakaye peperusha bendera ya chama chenu. Membe atawafaa sana maana mwaka ujao lazima uwepo mdahalo wa wazi wa wagombea tujue uwezo wao na hatuzungumzii uwezo wa pushups bali akili na ufahamu wa mambo duniani kwa ujumla. Push ups kama zingesaidia tungemchagua Kaseba.
 
2020 ni vyema tukaenda na JPM ikiwezekana hadi 2050, Membe box lile size yake akina Kibajaji na Musiba..
 
Huyo unayempenda ameshindwa kuthibiti watekaji nchini, ukimrudisha hali inaweza kuwa mbaya zaidi
Katwaa korosho za wakulima kwa nguvu
Na chini ya utawala wake haijulikani Trilion 2.4 zimekwenda wapi
Sera zake zauchumi zimeshindwa kuinua ajira kwa vijana nchini
Wafanyakazi hawajaongezewa nyongeza na stahiki zao kwa mujibu wa sheria

Mkuu unataka hayo mambo yajirudie ndani ya miaka 5 ijayo?
Unataka vyuma viendelee kukaza hata huo mlo mmoja wa tabu watu wasipate?
 
Hujakatazwa, kipimo cha akili yako umemuona huyo jembe sawa shida iko wapi?
Hapa hatuzungumzii kuchagua Rais bali tunazungumzia atakaye peperusha bendera ya chama chenu. Membe atawafaa sana maana mwaka ujao lazima uwepo mdahalo wa wazi wa wagombea tujue uwezo wao na hatuzungumzii uwezo wa pushups bali akili na ufahamu wa mambo duniani kwa ujumla. Push ups kama zingesaidia tungemchagua Kaseba.

Fitness ya Rais nayo inamata pia, kama mtu hayuko physically fi hawezi kuwa mentaly fit. Hivyo mgombea Urais yeyote lazima aonyeshe kwa vitendo how fit he is..na sio ooh report ya daktari hapana tunataka tuone kwa vitendo tena ikiwezekana iwe 100 pushup na kukimbia Km 20..
 
Ujumbe murua kabisa. Jiwe na watu wake wakisoma huu uzi sijui kama watalala. Una akili sana Mkuu. Na huyu sisi tutamsupport mpaka kieleweke. Ndie wa kututoa kwenye shimo hili tuliloingia.
 
Mnavyozidi Kumjambisha ( Kumsifia / Kumpamba ) hivi ndiyo mnazidi Kumuharibia na Kumponza. Naomba niishie hapa tafadhali.

Woga ndio unatuponza. Watanzania sasa tumeamka. Tunaona rangi halisi ya utawala huu. TUMECHOKA. Yoyote jasiri wa kusimama na sisi tutamsupport huyo. Hivyo hapa tunaenda na Membe. Ndiye aliyeonyesha uthubutu.
 
Huyo unayempenda ameshindwa kuthibiti watekaji nchini, ukimrudisha hali inaweza kuwa mbaya zaidi
Katwaa korosho za wakulima kwa nguvu
Na chini ya utawala wake haijulikani Trilion 2.4 zimekwenda wapi
Sera zake zauchumi zimeshindwa kuinua ajira kwa vijana nchini
Wafanyakazi hawajaongezewa nyongeza na stahiki zao kwa mujibu wa sheria

Mkuu unataka hayo mambo yajirudie ndani ya miaka 5 ijayo?
Unataka vyuma viendelee kukaza hata huo mlo mmoja wa tabu watu wasipate?

Na hataishia kwenye miaka 5. Kauli za leo tumeyajua haya. Kwanzia 2020 kama anapita ndio tuhesabu kufa kabisaaa.
 
Ujumbe murua kabisa. Jiwe na watu wake wakisoma huu uzi sijui kama watalala. Una akili sana Mkuu. Na huyu sisi tutamsupport mpaka kieleweke. Ndie wa kututoa kwenye shimo hili tuliloingia.

Ntawashangaa Watanzania ambao kwa miaka minne wanalia "Vyuma kukaza", " Kuisoma namba" halafu wakaacha kumuunga mkono Membe, mtu ambaye amejiandaa vya kutosha, anayejua matatizo ya wananchi, Mtu Jasiri lakini mwenye huruma na mzalendo kwelikweli, Jasusi aliyebobea anayeijua nchi hii nje ndani!
 
Woga ndio unatuponza. Watanzania sasa tumeamka. Tunaona rangi halisi ya utawala huu. TUMECHOKA. Yoyote jasiri wa kusimama na sisi tutamsupport huyo. Hivyo hapa tunaenda na Membe. Ndiye aliyeonyesha uthubutu.

Na yamkimkuta ya Kumkuta naomba msipotee katika Kumuonyesha huu huu Upendo wenu wa Kinafiki Kwake ambao umejaa Uanaharakati, Chuki na Visununu vya Kisiasa.
 
Ndugu Gentamycine, kwani Membe akichukua fomu ya kugombea anakuwa ametenda dhambi gani ya kumpasa kumkuta ya kumkuta?
Hii hofu yako ndiyo inatutia Hamasa zaidi kumsihi ndugu Membe achukue fomu ili kuondoa nchini hofu kama hii, yaani aje atujengee demokrasia yetu na watu yasiwakute ya kuwakuta eti kwa sababu wanataka kutumia haki yao ya kikatiba kuomba ridhaa ya kuongoza nchi yetu
 
  • Hatuhitaji raisi bingwa wa kupiga push up bali tunataka raisi bingwa wa kupambana na umasikini wa watu wetu,
  • Hatuhitaji raisi bingwa wa kupiga vita ufisadi mdomoni, Tunahitaji raisi mwenye kujenga taasisi imara za kupiga vita ufisadi na tuone kwa vitendo ufisadi huo ukipigwa
  • Hatuhitaji raisi mpenda kuonekana kwenye TV kila siku, Tunahitaji Rais mpenda utulivu mwenye kukaa chini na kuwaza na kuwazua atatatua vipi matatizo ya wananchi kuliko kuonekana LIVE kwenye TV hata kwa vitu vya kawaida vya kuapisha wateule!.
  • Hatuhitaji Raisi ambaye kwake siasa ni kutumia vyombo vya dola kudhibiti wapinzani wake, tunahitaji Raisi mwenye ujasiri wa kujibu hoja kwa hoja.

Twende na Membe 2020, huyu bosi yuko njema amejiandaa na anajua anafanya nini
Huyo rais utamwokota kwenye korido za ufipa endelea kuuza madawa atapatikana tu
 
Back
Top Bottom