Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
we ni mdogo wake na yule mnyaru,Money Stunna,au majina yanafanana?Picha linaendelea,nao wamepata mkanda wa ushahidi!let us wait
Yaonekana wewe mbakaji ndiyo maana unayajua haya mambo ya ubakaji sana.Ipo siku ukishabikia unyama huu utakuja kuona mama yako anabakwa live na policcm
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kwakua umerukia kujibu post isiyoelekezwa kwako,nami nichukue fursa kujibu kwa niaba.Kumbe na wewe ni mbulula tu, huyo mama yake anahusika nini hapo ? Ama ponda ni mama yako ndo mana unamfanamishia mama yake?
Yaani nyie watu wenye udini mnakuwaga na matatizo sana, Mwenyezi Mungu mwenye rehema nyingi awarehemu.
hata simu ya mkononi inaweza kucapture matukio,in case kama ulikua hujui.Teknology imekua sana.Wamepata mkanda wa ushahidi yaleyale ya mbowe hivi vitu wanavipanga.
Swali moja kwako ponda, hao wanyonge unaowatetea no pamoja na makafiri au?
Sasa ujembe wa Ponda ukuwapi!? Huyu Mtu hakuhurumii hata wewe muislamu mwenzie!! Ponda ni Mtu hatari kwenye Jamii. Mie hua nashangaa kwa nini baadhi ya waislamu wepesi kurubunika ndio maana mnauawa sana kufuata akili za watu Kama Ponda.
Duh! Ponda ana mkanda wa ushahidi tukio la morogoro na mhe mbowe nae ana mkanda wa ushahidi tukio la arusha? What a coincidence?
Hakuna haki pasipo utii wa sheria! That's all
Sasa ujembe wa Ponda ukuwapi!? Huyu Mtu hakuhurumii hata wewe muislamu mwenzie!! Ponda ni Mtu hatari kwenye Jamii. Mie hua nashangaa kwa nini baadhi ya waislamu wepesi kurubunika ndio maana mnauawa sana kufuata akili za watu Kama Ponda.
Happen or didn't happen?oh God namlilia Padri Mushi why should this happen to this idiot too.