PONDA mbioni kuachiwa

Status
Not open for further replies.
Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, yuko mbioni kuachiwa kwa dhamana muda wowote kuanzia sasa.Taarifa zilizonifikia toka vyanzo vyangu vya uhakika vya Polisi,Usalama wa Taifa na Chama cha Mapinduzi zinasema kuwa Sheikh Ponda atalegezewa masharti ya dhaman ili aachiwe.

Chama cha Mapinduzi kinahusikaje hapa? Nacho ni mahakama?
 
Sheikh ponda ni mwanaharakati wa kutumainiwa kuliko hata viongozi wetu wa kisiasa wa vyama vyote kuanzia ccm, chadema na vinginevyo.Namuunga mkono kwa asilimia mia ili mradi atambue kuwa adui yake ni serikali na bakwata na sio makanisa, hapo tafanikiwa kwa kiasi kikubwa, hongera sana sheikh ponda , mtu wa watu.
 
Wamebana mwishowe wataachia tu. Hawana ubavu wa kubana maisha.

Heeee hata huyu jamaa wa Serikali ya Ccm nae anaunga mkono wakati yeye kila leo hata asikie serikali imeuwa mtu yeye atasema no waliua mbuzi lol!!Kumbe Zomba wewe ni wale wale au na wewe unatokea Zimbabwe??
 
bora aachiwe ila aangalie maana ameshalishwa remote sensor, atafuatiliwa kila hatua atakayokuwa akipiga hadi toi
 
tusubiri lakini Ponda haana haki ya kupata dhamana kama watanzania wengine ukizingatia na makosa aliyofanya
 
Ponda jembe hili, maana ukiona nyuzi ina muhusu huyu mshua utakuta watu wana tokwa mapuvu...duh.
Ata hitler alifungwa bana lakini baadae watu walimuelewa, tunaomba mungu watu wasimuelewe huyu bwana maana misimamo yake ni ya hatari, na serekali imelitambua hilo.
 
Heeee hata huyu jamaa wa Serikali ya Ccm nae anaunga mkono wakati yeye kila leo hata asikie serikali imeuwa mtu yeye atasema no waliua mbuzi lol!!Kumbe Zomba wewe ni wale wale au na wewe unatokea Zimbabwe??

Si kosa lako ni kuta nne zilizokujaza Ubaguzi wa Ujinga.
 
Magamba's whistleblowers wanaanza kupata akili!

Hii ni dunia tu. Wewe ukipewa dhamana ukaona kuwa kupitia dhamana hiyo unaweza kufanya ubabe,we fanya lakini ukumbuke kesho kuna kuulizwa mbele ya Muumba wa mbingu ardhi na kila kilichomo. Siku zote mti wenye matunda ndio hupopolewa mawe. Kiuzalendo alichofanyiwa ni dhuruma hana kosa lakufanya asipewe dhamana.
 
Wampe kesi ya robbery tu kuvunja na kuiba kutumia silaha...na ile ya trespasing zinamtosha akikaa miezi 6 hivi akitoka atanyooka sana na atakuwa na adabu,hii ya kukaa week 2 bado inamtia jeuri maana hata mule ndani wafuasi wake bado wanakuwa na solidarity bado ila zikifika siku 90 na kuendelea utaona watakavyogawanyika na kila mmoja kuanza kupambana kivyake!
 
Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, yuko mbioni kuachiwa kwa dhamana muda wowote kuanzia sasa.Taarifa zilizonifikia toka vyanzo vyangu vya uhakika vya Polisi,Usalama wa Taifa na Chama cha Mapinduzi zinasema kuwa Sheikh Ponda atalegezewa masharti ya dhaman ili aachiwe.
KUMBE KUNA SIASA NYUMA ya PAZIA???
 
Hata akiachiwa, at least ameonja mahabusu ilivyo....sijui udhu alikua anaupata wapi maana kule kila mtu na lake
 
kwa sasa hatuwezi kusema tuna usalama wa Taifa maana kila kinachotendeka tunakipata sijui usalama wetu unatupeleka wapi
 
Aliyekwambia anafanya uchochezi ni nani? Kudai haki ndo uchochezi? Kwa nini usiwandame bakwata wanaosababisha haya kwa kuuza mali za waislam kwa maslahi binafsi? kama wewe huna uchungu na mali za imani yako, basi pole-pakajimmy
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom