Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,839
angetoneshwa hapo chini ya mgongo, kw ile njia ya vima.. pambaaaf.
Hebu fafanua...
Ni bora afe tu ili mambo ya udini tusiyasikie tena!!
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
udini hauta oondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
Ni bora afe tu ili mambo ya udini tusiyasikie tena!!
Ni bora afe tu ili mambo ya udini tusiyasikie tena!!
Hakuna atakayebaki hata wewe pia utakufa.Naamini hata ndugu zake wangependa bora afe amekuwa kero sn huyu bana.....nashangaa polisi wanashabaha kwenye kikutano ya siasa tu...