Ponda aachiwe mara moja - Lipumba


maneno yako ni sawa na kuota uko ndani y coffin kumbe umelala kitandani nakuja kuamini kwamba hamna tofauti kati ya mwislam aliyekaa darasani au laa wote mawazo ya kijiweni eti mtatawala dunia wait and see mkuu,hamna kichwa chakutawala dunia kwa mawazo haya heri yake mohamed mtoi anayejua kutumia elimu aliyoipata
 
Last edited by a moderator:
kama ilivyo kwa chadema ambapo kumejaa wachungaji na maaskofu na watoto wa wachungaji,angalia mchungaji msigwa,mchungaji israel natse,padre slaa na mtoto wa mchungaji joshua nasari

Nashukuru umewataja hao, je ponda ataweka mguu hapo?
 
Binafsi sikuamini kauli iliyotolewa kama ni ya Prf Lipumba kweli.hivi kiongozi kama Lipumba anaweza kuwatetea wahalifu waliotenda makosa ya wazi wazi!!?.hawa ndio viongozi wanaotaka kuja kuwa raisi baadae halafu utegemee Tanzania itaendelea thubutu!

infact LIPUMBA anatumikia mabwana wawili uislamu upande mmja na siasa upande mwingine.anataka kote apendwe kitu ambacho ni kigumu sana.
 
kama ilivyo kwa chadema ambapo kumejaa wachungaji na maaskofu na watoto wa wachungaji,angalia mchungaji msigwa,mchungaji israel natse,padre slaa na mtoto wa mchungaji joshua nasari

Nashukuru umewataja hao, je ponda ataweka mguu hapo? Ubugo kumejaa kitimoto ponda ataweza? Usipime hangaikeni na magamba.
 

Teh teh teh...Lipumba si aende kumuwekea dhamana? Ili kesho na yeye ashikwe shati maana anataka kusema kutiwa kwake ndani ndio chanzo cha kuvuruga amani wakati anajua fika Shekhe Ponda ni muhubiri mkubwa wa siasa za chuki na kubaguana watanzania.
 
Ndiyo maana ana sugu usoni, professor mzima kusujudi majini.
 
Lipumba ka copy na ku pest report ya mwanasheria marando hakuna jipya aliloongea, alimshauri nn mzee Mwinyi wakati akiwa Ikulu? Ndiyo maana ccm wakamtelekeza baada ya kuona mapungufu mengi yalikuwa ya kitaalam rais alipotoshwa akashindwa kuimarisha uchumi, na ccm wanamlea majukwaani kwa sababu hajawai kuwa tishio kwao. Cuf kinamfia.
 
Kwenye mashitaka yaliyomweka ndani Ponda kuna mashitaka mengi makbwa zaidi ya hilo la kuchoma makanisa,Pr. Lipumba asichanganye jinai za Ponda na makanisa
 

INANIPA HOFU KUMFIKIRIA lIPUMBA KAMA RAIS, KAMA ANATETEA WAHALIFU SASA, AKIWA RAIS PONDA ATAFANYA FUJO KUBWA, KWA KIBALI CHAKE. NDIO MAANA ............ WANAMPENDA WANGEPENDA AWE RAIS WAO. KWA USEMI WAKE HUO TUSIMCHAGUE KUWA RAIS WETU AWAMU IJAYO.
 
Hiyo tafasiri yako wale hawaongozi kidini kama unavyofikiri jina hilo la Muslim Brotherhood lisikusumbue.
 

Mkuu unafanya reference kwa shemeji zako...
 
Huo ndio uwezo wako wa kufiri huna hoja, na mkipewa nafasi mnaishia kuliaibisha taifa maana umeelewa kwamba ni typing error but unadhihilisha nilichokisema, Chadema labda wawaongeze ninyi pekee ila kwa nchi yote sahau mkuu!

Kizuri ni kizuri lakini kilichobora ni muhimu sana,inawezekana ukawa upo sahihi kwa unachosema lakini huwezi kuusemea umma wa Watanzania woote hapana acha umma ndio utakaoamua nani wamuondoe na yupi abakie.
 
Uprofesa ni Chuoni ... ukishatoka huko, kwa taratibu za kiakademia hatakiwi kuitwa tena profesa. Mifano, ni akina Condoleeza (USA), Gordon Brown, (UK) n.k.
 
kuendesha siasa kwa kufuata matukio ni hatari sana,kwa ujumla kuna kitu fulani nyuma ya pazia.Labda kwa sasa hii ndio siasa safi isiyofuata sheria ni amri tu la sivyo panachimbika,hatatafika mh. kwa siasa hii?.Kwa hiyo ndio kusema kama hakuna matukio yoyote ninyi kwenu ni njaa au inakuwaje?
 
Kwenye mashitaka yaliyomweka ndani Ponda kuna mashitaka mengi makbwa zaidi ya hilo la kuchoma makanisa,Pr. Lipumba asichanganye jinai za Ponda na makanisa


si unajua tena yaleyale ya kusafiria nyota ya mwenzako na ile falsafa ya kijapan "palipo na mzozo,pana fursa" na ukizingatia hakuna propaganda nyingine kwa sasa zaidi hii ya udini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…