Naona umenigeuzia kibao...hivi vilio wadada huvioni?... mpaka majina yanatungwa 'mwanaume wa dar' husikii...Kwa hiyo mkuu kutokana na comment yako hii, inaonesha na wewe ni "mhanga" wa kugegedwa na wanaume wa dar ambao hawamalizi mechi??
Dada ni pm tafadhali.Kama wanaume wa Dar..wanapenda ngono ila hawamalizi mechi...wanaishia kati...
Kazi kubadili wadada...
hata jina lao kiswahili limekaa kingono ngonoWengi tunamfahamu pomboo ama dolfin kwa uwezo wake mkubwa wa akili na upendo kwa binadamu.
Licha ya sifa kedekede alizonazo pomboo pia ni mmoja wa viumbe wa baharini wanaopenda sana kujamiiana. Hujamiiana muda mfupi lakini mara nyingi zaidi kuliko kiumbe yeyote yule baharini/mtoni.
Pomboo hufahamika kwa kufanya mapenzi kwa sababu nyingine mbali na kupata watoto, na wakati fulani hujamiiana kwa jinsia moja, baadhi ya pomboo hudiriki hata kujamiiana na pomboo wa spishi nyingine na mara ningine huonesha mapenzi hata kwa wanyama wengine, kujumuisha na binadamu.
Nimekuuliza hilo swali baada ya kusoma "signature" yako hapo chini! Nikashangaa, na wewe pia!!!!!Naona umenigeuzia kibao...hivi vilio wadada huvioni?... mpaka majina yanatungwa 'mwanaume wa dar' husikii...
Mara vibamia...
Pomboo wanapenda sana kubaka binadamu na ndiyo maana wakikuona tu baharini unaogelea wanakufuata kujaribu kukubaka na ndiyo maana mabaharia hawapendi pomboo hata kidogo.
Hahahaaaaa duuuhKama wanaume wa Dar..wanapenda ngono ila hawamalizi mechi...wanaishia kati...
Kazi kubadili wadada...
Ili uanaume utimie lazima uweze mfikisha mwanamke kileleni...
Narudia...'mfikisha kileleni'
Ukiona huwezi jitafakari
mkuu una hasira nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama wanaume wa Dar..wanapenda ngono ila hawamalizi mechi...wanaishia kati...
Kazi kubadili wadada...
mkuu niliposoma bonobo ilibidi ni google,kwa style hii bonobo yuko njema sana kwenye migegedo kuliko hata binadamu.mweeeh!Ni viumbe watatu tu Duniani wanaofanya mapenzi kwa ajilibya starehe nao ni binadamu, bonobo na pomboo.
Waliobaki wao kutiana ni kwa ajili ya kuzaa tu na si vinginevyo.
Anamzidi kicheche?Wengi tunamfahamu pomboo ama dolfin kwa uwezo wake mkubwa wa akili na upendo kwa binadamu.
Licha ya sifa kedekede alizonazo pomboo pia ni mmoja wa viumbe wa baharini wanaopenda sana kujamiiana. Hujamiiana muda mfupi lakini mara nyingi zaidi kuliko kiumbe yeyote yule baharini/mtoni.
Pomboo hufahamika kwa kufanya mapenzi kwa sababu nyingine mbali na kupata watoto, na wakati fulani hujamiiana kwa jinsia moja, baadhi ya pomboo hudiriki hata kujamiiana na pomboo wa spishi nyingine na mara ningine huonesha mapenzi hata kwa wanyama wengine, kujumuisha na binadamu.
Jiwe gizaniKama wanaume wa Dar..wanapenda ngono ila hawamalizi mechi...wanaishia kati...
Kazi kubadili wadada...
😀 aisee hicho kiumbe kitakachotokea ni hatari tupu walahi😀😀Anamzidi kicheche?
Hivi ukifanya crossbreeding ya hizi species mbili nini kitatokea? Pomboo + kicheche
Wewe ni ke au meHaya
MkuuKama wanaume wa Dar..wanapenda ngono ila hawamalizi mechi...wanaishia kati...
Kazi kubadili wadada...