POMBOO: Bingwa wa migegedo baharini

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,441
Reaction score
12,211
Wengi tunamfahamu pomboo ama dolfin kwa uwezo wake mkubwa wa akili na upendo kwa binadamu.

Licha ya sifa kedekede alizonazo pomboo pia ni mmoja wa viumbe wa baharini wanaopenda sana kujamiiana. Hujamiiana muda mfupi lakini mara nyingi zaidi kuliko kiumbe yeyote yule baharini/mtoni.

Pomboo hufahamika kwa kufanya mapenzi kwa sababu nyingine mbali na kupata watoto, na wakati fulani hujamiiana kwa jinsia moja, baadhi ya pomboo hudiriki hata kujamiiana na pomboo wa spishi nyingine na mara ningine huonesha mapenzi hata kwa wanyama wengine, kujumuisha na binadamu.
 
Pomboo wanapenda sana kubaka binadamu na ndiyo maana wakikuona tu baharini unaogelea wanakufuata kujaribu kukubaka na ndiyo maana mabaharia hawapendi pomboo hata kidogo.
 
Pomboo wanapenda sana kubaka binadamu na ndiyo maana wakikuona tu baharini unaogelea wanakufuata kujaribu kukubaka na ndiyo maana mabaharia hawapendi pomboo hata kidogo.
Kwahyo mkuu unamaanisha mabaharia wengi wameshafumuliwa rinda na pomboo kwa comment yako hiyo ama kweli pomboo anafaa alaniwe tu
 
Kama wanaume wa Dar..wanapenda ngono ila hawamalizi mechi...wanaishia kati...
Kazi kubadili wadada...

Aiseeee...!! Kumbe wanaweka mpira kwapani siyo?? Itabidi wanaume wasio waDar tuje kwa mechi za kirafiki tuone na wanawake wa Dar mna shida gani mpaka mechi haziishi!!
 
Kwahyo mkuu unamaanisha mabaharia wengi wameshafumuliwa rinda na pomboo kwa comment yako hiyo ama kweli pomboo anafaa alaniwe tuView attachment 874712

Wanafumuliwa sana, ulishawahi kuona baharia anapenda ama kusimulia mazuri ya pomboo? Muulize Le Mutuz anamchukuliaje pombooo kama hajakupiga au kukuchinja maana utamkumbushia huzuni nyingi aliyonayo moyoni.
 
Hahah unamaanisha pomboo alishamtendea visivyo le baharia?

Atakujibu "You know i hate gadem pomboo you know"
 
Wee Cha msingi sie tunatema wazungu na wikend ijayo ttunapapasa mapaja mapya. Utoke jasho kumridhisha mwanamke ambaye nimemkuta Hana bikra ni ujinga.
Ili uanaume utimie lazima uweze mfikisha mwanamke kileleni...

Narudia...'mfikisha kileleni'

Ukiona huwezi jitafakari
 
Kama wanaume wa Dar..wanapenda ngono ila hawamalizi mechi...wanaishia kati...
Kazi kubadili wadada...
Tunagegeda kadri ya ela tulizoonga sio kadri ya wewe upendavyo kugegedwa.
 
Aiseeee...!! Kumbe wanaweka mpira kwapani siyo?? Itabidi wanaume wasio waDar tuje kwa mechi za kirafiki tuone na wanawake wa Dar mna shida gani mpaka mechi haziishi!!
Mkuu wanawake wa dar wanapenda ela sana, hata akiwa chumba cha jirani ukimwambia aje gheto anakuambia nitumie nauli,
Ndio mana tukija vijijini tukiwakamata wa huko wasiopenda ela shughuli wanaijua ndio maana wanakimbilia dar
 
Ili uanaume utimie lazima uweze mfikisha mwanamke kileleni...

Narudia...'mfikisha kileleni'

Ukiona huwezi jitafakari
Hapo na ela yangu ushakula ya kutosha tu!!
Huo ujinga sifanyi kwa kweli, kwa mda nnaotafuta goli zangu kama bado hujafika pole yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…