Pombe ya Tshs Milioni tatu kwa chupa

Pombe ya Tshs Milioni tatu kwa chupa

Hiyo ni 5Lts ujazo wake bei ya jumla mohans 2012 ilikua 350,000tshs now itakua kwenye laki 4 au 5.....pia inawezekana hiyo bar inawateja wa class flani ndio mana inauza bei hiyo
Pale Duka la AMI Karibu na Mohans nilikuta kitu kimetengenezwa miaka ya 60s huko bei ilikuwa 8m na ushee so wewe unapomkatalia jamaa wanshangaza.... Nenda kajionee mwenyewe muache kubisha vitu huku unajidifence kwa kumbukumbu ya miaka ya 2012 whata maaaan whatta Man... sometime jioneshe mtu wa serious...
 
mkuu najua kuna pombe za bei ghali sana ila mimi nimeongelea hiyo chivas ya 5Lts
 
Sikilizeni wananchi. Hiyo Chivas sidhani kama ipo ya bei hiyo. Yes Chivas ni pombe maarufu sana lakini kwa ninavyojua mmmh bei hiyo hapana. Pale Mohans Morogoro store hiyo chupa uliyopost inauzwa 61,000/= naiko nyingine kama hiyo yenye miaka 18 ni laki tatu na kidogo. Na ya mwisho yenye rangi kama hiyo ina miaka 25 inauzwa 622,000/=. Tena hii ya mwisho yuko mwanasiasa mmoja mkongwe anainywa sana hadi kapata madhara fulani hivi
 
Back
Top Bottom