kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,709
- 25,490
Wazee sijui ni mimi ndo nimekua konkodi kiasi kwamba pombe zinadunda au vipi?
Kuna hii pombe ina ladha ya whiskey inaitwa captain Morgan.
Wahusika wanajitahidi sana kuipromote but sioni kama inatoboa hii pombe ina alcohol % ya 37 5.
Mimi leo nikasema niijaribu, nimepiga vile vidogo vitatu nikichanganyia na safari kubwa but mpaka sasa sioni dalili ya kuzima.
Hii kitu haileweshi kabisa bwana.