Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
Ha ha ha, wee ni m s h e n z y, kuna kitu umenikumbusha. Dah.
Nitasimuliaga wajukuu tu.
Nitasimuliaga wajukuu tu.
situmii aina yoyote ya vilevi zaidi ya madawa ya hospitalini na PAPUCHI!!...
otherwise nikupe stori ya quinine ilichonifanya siku moja...
nakumbuka nilishalala kati kati ya barabara nilipozidiwa na dozi, kizunguzungu kilizidi... nikachapa usingizi na jua kali la saa nane mchana....
Kuhusu papuchi, nilishakosa UE moja sababu ya dem aliniahidi papuchi muda wa paper... nikapiga chini paper, nikaenda kugegeda!
nb: excel hatumii kilevi chochote zaidi ya dawa za hospitalini na PAPUCHI!!!...
sent from kanda maalum, tarime-KJ 324.