Pombe ni nini? Nimechoka mimi

Pombe ni nini? Nimechoka mimi

umeona eeeeh mengine yaweza kuwa kweli lakini kuacha pepa kisa papuch nakataaaaa

Hahhahaha..Excel ww unapenda papuchi sana,
siku ya kunasa ndo utaijua habari yake.

miss neddy yani huyu havuki sketii khaaa..
 
Hahhahaha..Excel ww unapenda papuchi sana,
siku ya kunasa ndo utaijua habari yake.

miss neddy yani huyu havuki sketii khaaa..

tian kumbe na wewe umeliona hilo eeeh
 
Last edited by a moderator:
e287dd34a5d4921e7f07f72e6d021dc1_view.jpg


Namsaidia tu kijana yuko kwenye honeymoon
stock-photo-too-drunk-89437072.jpg
 
nililia sana
niliongea mengi sana siku hiyo

ilikuwa my first n last time kunywa pombe..
 
Hahhahaha..Excel ww unapenda papuchi sana,
siku ya kunasa ndo utaijua habari yake.

miss neddy yani huyu havuki sketii khaaa..
sa tian unataka nifanyeje jamani??

papuchi ndo kila kitu... wakati we unaburudika na tusker bariiidi,

mi niko kwenye papuchi tu mwanzo mwisho.. yani hapo sina ujanja!!!

mwenzio nimerudia mwaka sababu ya papuchi! can you imagine??
 
nililia sana
niliongea mengi sana siku hiyo

ilikuwa my first n last time kunywa pombe..
sipati picha ulivyokuwa ukirembua! lols!

vp uligonga konyagi ama?
 
sa tian unataka nifanyeje jamani??

papuchi ndo kila kitu... wakati we unaburudika na tusker bariiidi,

mi niko kwenye papuchi tu mwanzo mwisho.. yani hapo sina ujanja!!!

mwenzio nimerudia mwaka sababu ya papuchi! can you imagine??

siku kigegedeo kitakatwaa

Tatizo huna njia kuu
 
Hufaaaiiiii....

ngoja nikutafutie nauli na wewe!! ntakufanyia alichofanyiwa mahondaw kudadeki!

mi naboresha idea kidooogo, sizimi taa wala kufunga dirisha wala kuwasha redio wala simu...!

lala chali...
 
Last edited by a moderator:
ngoja nikutafutie nauli na wewe!! ntakufanyia alichofanyiwa mahondaw kudadeki!

mi naboresha idea kidooogo, sizimi taa wala kufunga dirisha wala kuwasha redio wala simu...!

lala chali...

Hayo maneno tuu
 
Last edited by a moderator:
Miaka ile hii makitu ungeikuta chitchat...
 
Sijui niiweke hii news sehemu gani kule habari mchanganyiko naona kama sio penyewe kule chit chat sipaeLewi kule intelijensia kumejaa wanoko tu siredi itafungwa kule jokes na nin sijui sio paHala pake.....
AnYway mada yenyewe ni hv....

JE ni kitu gani ushawahi kufanya ukiwa umepiga tungi then bdae ukaona umefanya kitu cha kiboya????????

Kwangu nshafanya haya....
1. Nishaenda chooni kukojoa baada ya haja nikawa nanawa sasa bahati mbaya nkadumbukiza sabuni choooni....
Kilichofuata niliingiza mkono chooni na kuiibua sabuni huku ikiwa na haramuuuu nkaiosha sabuni kwanza then na mimi nkaendelea kujiosha nayo....daah kila nikikumbuka ni kinyaaaaaaa
2. Nishavua viatu kuingia chooni na baada ya hapo nikalala nje......

JE wewe nini kilikukumba ???? Hebu tupia kituko chako cha kweli hapa......

Loooooooong wikiend.....
hahahahaahh naona mleta sredi anapindisha hoja hasa hoja # 1 mi nahisi hukushika sabuni iliyotumbikia zaidi ya "KIMBA" na kilimawia....! harufu ndio ikakushtua.
 
Back
Top Bottom