mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,217
nilikuwa nataka ipunguze msongo wa mawazo
enheeeee ilikuwaje ulikunywa sherehe ama
enheeeee ilikuwaje ulikunywa sherehe ama
Ha ha ha, wee ni m s h e n z y, kuna kitu umenikumbusha. Dah.
Nitasimuliaga wajukuu tu.
tian, wewe ni mwanamke rijali.. kweli si kweli??
Pigia Mstari
hahahah excel wee swaiba ntafute nkupe dawa ya kuacha hii kitu maana kuna siku utapitiwa mpaka usahau kuacha interview!!:biggrin:hahahahaaa!!! nakwambia nilipiga special exam yani kama supplementary!!
papuchi noma, kama ulevi wa gongo vile!... nashindwa kuacha charty...!!
hivi ni kwanini jamani?
nilikuwa nataka ipunguze msongo wa mawazo
situmii aina yoyote ya vilevi
zaidi ya madawa ya hospitalini na PAPUCHI!!...
otherwise nikupe stori ya quinine ilichonifanya siku moja...
nakumbuka nilishalala kati kati ya barabara nilipozidiwa na dozi,
kizunguzungu kilizidi... nikachapa usingizi na jua kali la saa nane
mchana....
Kuhusu papuchi, nilishakosa UE moja sababu ya dem aliniahidi papuchi
muda wa paper... nikapiga chini paper, nikaenda kugegeda!
nb: excel hatumii kilevi chochote zaidi ya dawa za hospitalini na
PAPUCHI!!!...
sent from kanda maalum, tarime-KJ 324.
ahahahaha sawa mkuu.Usijifanye sheikh Yahaya...