steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,685
- 14,023
jamaa hapendi ujinga kabisa😱
yaani nikimkuta mlevi kalewa kama huyo hapo,nitamcheka balaa,nafikiri nitaongeza uhai kwa hicho kicheko
jamaa hapendi ujinga kabisa😱
swadakta kabisa kunywa kupita kiasi hupelekea kutokujitambua na kutokujitambua hupelekea mtu kufanya matendo ya aibu hivyo kuleta picha mbaya ktk jamii.Mkuu naona unatetea kipenda roho chako . Nahisi huyu mleta uzi kama amekukera kimtindo fulani hivi. Ila yeye hakumaanisha vibaya amewalenga wale wanaokunywa bila kuzingatia uwezo wao wa kuhimili alcohol kwenye vichwa vyao.Si unamuona huyo aliyesilala hapo hata kama sio siku ya kazi ukilewa hivyo unadharaulika katika jamii .