Pombe ni mbaya sana!

Pombe ni mbaya sana!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,635
Reaction score
89,398
drunk_peasants-s500x414-52588.jpg
 
kata kiraji ujiga ukutoke hii starehe ya kulala hvyo pengine ingekuwa ghali zaidi angeifanya sober ila it was made cheap kwa kiraj
 
Pombe inategemea ni ya aina gani na umekunywa kwa kiasi gani. Wapo watu katika siku ambayo wako free wanakunywa bia kuanzia asubuhi mpaka jioni na mwingine usiku kucha mpaka asubuhi na akaenda kwenye shuguri zake au kupumzika. Pombe itakupeleka au kukufanya vibaya kama hujala vizuri especially wisky, spirits na grants ila bia watu wanakunywa tu.
 
Jinga kabisa,sasa hapo starehe ipo wapi?,maana mawasiliano yamekata,na vijana WA kihuni wanaweza pata asusa.
 
Pombe inategemea ni ya aina gani na umekunywa kwa kiasi gani. Wapo watu katika siku ambayo wako free wanakunywa bia kuanzia asubuhi mpaka jioni na mwingine usiku kucha mpaka asubuhi na akaenda kwenye shuguri zake au kupumzika. Pombe itakupeleka au kukufanya vibaya kama hujala vizuri especially wisky, spirits na grants ila bia watu wanakunywa tu.
Mkuu naona unatetea kipenda roho chako . Nahisi huyu mleta uzi kama amekukera kimtindo fulani hivi. Ila yeye hakumaanisha vibaya amewalenga wale wanaokunywa bila kuzingatia uwezo wao wa kuhimili alcohol kwenye vichwa vyao.Si unamuona huyo aliyesilala hapo hata kama sio siku ya kazi ukilewa hivyo unadharaulika katika jamii .
 
Hapana sio kama amenikera ila hoja ya mtoa mada imekaa kama vile ukinywa pombe itakufikisha katika hali hiyo. Na ikitokea siku pombe ikakufikisha hapo you better stop drinking. Hakuna kitu kinachoshusha heshima katika jamii kama siku ukalewa ukafikia hatua ya kulala kama huyo jamaa au ukaokotwa na watu na kuletwa kwako. Tuwe na kiasi
 
Pombe inategemea ni ya aina gani na umekunywa kwa kiasi gani. Wapo watu katika siku ambayo wako free wanakunywa bia kuanzia asubuhi mpaka jioni na mwingine usiku kucha mpaka asubuhi na akaenda kwenye shuguri zake au kupumzika. Pombe itakupeleka au kukufanya vibaya kama hujala vizuri especially wisky, spirits na grants ila bia watu wanakunywa tu.
Kweli kabisa vitu kama hivi havisumbui
1477306046970.jpg
1b6822324142d1ccf06bff2b1839e364.jpg
 
Kama una uwezo wa kuhimili aina yoyote ya pombe we kunywa maana ni kiburudisho kizuri sana cha akili. Wengine hufanya maamuzi sahihi katika mipango mikubwa ya kibiashara, familia hata katika vikao vizito etc baada ya kunywa pombe kiasi. Mwingine hawezi fanya kazi efficiently mpaka aguse pombe kiasi
Pombe ina faida zake na hasara zake, inategemea na mnywaji mwenyewe yuko katika hali gani na atakunywa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom