Naona hujaelewa wewe, soma Mara mbili mbili utaelewa tuSijui kwanini huwa nawachukia sana watu wanaoisema vibaya bia
Kalagabaho weweBeer ni nzuri ila tofauti ni jinsi ya kuitumia mkuu
Shaur zako weweee, utajijuuuuHata muikandie namna gani pombe, hatuachi.!
Huko sasa ni kupotoka kimantiki, anayetakiwa kujiongeza kwa sasa ni JJM wa kibamba maana anawaumiza vichwaUkishajiongeza urudi tena
Nimekuchukia bure, huwezi kuzisema vibaya pombe nikiwa nasikiaNaona hujaelewa wewe, soma Mara mbili mbili utaelewa tu
CCM CCM CCM CCM CCMDah...Wewe unasema leo wakati bajeti yetu inakaribia utekelezaji?? Ningewashauri waache wakati wa kupanga bajeti ijayo. Kuacha waache baada ya utekelezaji wa bajeti 2016/17 maana pesa zao zimeingizwa tayari kwenye bajeti
Kule kuna bia ya Balimi. Ina kilevi cha 10% kama sikosei.Mkuu au hatujamuelewa huenda anazungumzia jina la huyo jamaa wa mwanza
Hapana huyu anazungumzia POMBE sasa ishu ni pombe kilevi au pombe jinaKule kuna bia ya Balimi. Ina kilevi cha 10% kama sikosei.