Pombe ni hatari kwa uchumi

Mkuu sasa watu wameanza kuelewa kwamba mywa POMBE anaweza kupiga pushups mbele za watu pombe ikikolea vizuri
 
UKAWA wamefuzu kutoka katika kuibua uozo na sasa hivi wanatembea nyuma ya JPM wakisubiri akosee,
 
MUHUDUMU LETE POMBE [emoji482] [emoji482] [emoji481] [emoji481] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
 
Haki y a mungu duu leo kusema na ukweli nimefurahishwa sana humu j.f sijui tanfu mwanzo nilikuwaga wapi nisijiunge aisee yaani j.f nimegundua ukiwa na hasira weee zama tuu humu unajikuta unacheka tuu hadi hasira zinakatika!!!mleta huuu uzi umekosha sana roho yangu aisee!!!!ila pombe jamani!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 

Umenena vema..... Nakumbuka kipindi hicho nilikuwa mwanamke cha pombe aiseeeeeee.... Namshukuru Mungu sana sana huko sipo tena..... Ni maamuzi magumu ila ukiamua inawezekana.....
 

Karibu sana JF Ndugu yetu wa stendi.....
 
This is beyond literal translation and conceptualization #Malisa G...
 
Pombe ndio kila kitu usibishe kama wewe hutumii pombe
Nimewahi acha pombe nakwambia nilifulia ajabu
Sasa nakunywa pombe aka bia aka lager aka kitwanga nazishika noti hatare iga ukome.

Sijawahi kushauri mtu asietumia kileo kunywa bia pia sijawah kumwambia mnywaji wa pombe kuacha

Mara chache nawashauri wanywa pombe, wavuta ganja kupunguza kamwe simshauri mtu kuacha. Usiulize kwa nini?
 
the enemy of my enemies is my friend!
 
Mnhhhhhhhh..... Sitaki kuamini.....Limited amounts huwa zinanywewa kama mfuko haujakaa vema ..... Trust me ..... I have been there....!!!!!
Pombe hata ukianza kidogo mwisho wa siku itakukolea utaanza kunywa nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…