jiwe limepiga mtu hapa.......hhahahahahaahahahJuzi ulisema soda, leo pombe...kesho najua utasema maji ni sumu, manake kuna mtu humuhumu alisema ukiwa na kiu sana basi usinywe maji mpaka iishe yenyewe ndipo unywe maji...akitolea mfano kwamba hata gari iliyosafiri muda mrefu usiiongezee maji kwani unaiua fasta!!
Biere ya kumi na mbili hii na ubongo bado uko fiti.....
[SUP]25[/SUP]Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa kileo,
yaani, mvinyo imewaangamiza wengi.
[SUP]26[/SUP]Tanuru hujaribu kazi ya mhunzi,
na mvinyo mioyo ya watu,
katika ugomvi na wenye viburi.
[SUP]27[/SUP]kwa wanadamu mvinyo ni ama maji ya uzima,
ukinywa kwa kiasi.
Je, anao uzima gani mtu asiye na mvinyo?
Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu.
[SUP]28[/SUP]Mvinyo ni furaha ya moyo na changamko ya roho,
ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha.
[SUP]29[/SUP]Lakini kunywa mno ni uchungu wa roho,
na fedheha na ugomvi.
[SUP]30[/SUP]Kileo humzidishia mpumbavu mitego ya kumletea hasara;
hupunguza nguvu, na zaidi huleta jeraha.
[SUP]31[/SUP]Usimkaripie jirani yako penye karamu ya mvinyo,
wala usimdhihaki anapocheka;
wala usimwambie neno la shutuma,
wala usimnyeye kwa kutaka alipe deni.
Yoshua Bin Sira 31:25-31
nimekupenda kwa pesa mshana jrNimekupenda bure miss chagga
huwa haunywi za kotoshaMimi nikinywa pombe sifanyi yote hayo.