Pombe imevunja ndoa yangu

binafsi huwa namuonea huruma sana sana ! kumbe kunauma namna hyo !alafu bas bora mke apauke km wanavyowish !badala yake mke anang'aa tu ! anachana mby !lazima uumie ! hawez kbs kumove on maskini ya MUngu
Hii kweli ilimgusa pabaya.
 
Hawa ndio waume eti!!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
That is on you man. Umeharib na kulikoroga mwenyewe
 
Hapa ndipo ninapo washangaa wale wote wanao fanya makosa kwa utashi wao, alafu wanakuja singizia pombe.....
Ebu msituharibie jina la kinywaji chetu tafadhali
 
Akiolewa na wewe olewa umkomoe
 
nitaumia tu ila sio kwa kiwango km chako !nahis una maumiv makubwa moyon jaribu kuyaacha yaende
Mimi sikuoa ili tuachane kwangu natazama kama ni fedheha iliyopitiliza yaani unalipa mahari halafu unasumbua umma watu na heshima zao wanaacha kazi zao za maaana kuja kusherehekea upumbavu. Kesho unawaambia umemfumania mkeo. Kisha wanakuuliza ulimwokota wapi mwenyewe huyo? Maana yake hata mwoaji ni hovyo unaoaje mwanamke wa hovyo hivyo? Inaniuma sana!
 

huenda lakini umeepushwa na mengi !again pole sana
 
Labda nikuulize tu swali, nyapu ya mkeo ina tofauti gani na ya huyo mzinzi mwenzako wa kwny gari?

Pili, unapata faida kiasi gani kwa ulevi na uzinzi wako?
Papuchi zinatofautiana utamu mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…