Pombe imevunja ndoa yangu

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
2,233
Reaction score
2,159
Nimekuwa nikinywa pombe mfululizo, majuzi mke wangu akanifumania mitaa ya Goba nikiwa nagonga nyapu(jirani yetu) kwenye gari akachukua picha kama ushahidi, mimi nikiwa bwaksi kabisa.

Mke kapeleka ushahidi kwa ndugu na jamaa na wazazi, miongoni mwao wamemshauri abwage manyanga.

Sasa amenitolea macho anataka talaka very serious sababu hii siyo mara ya kwanza tuna watoto, mimi nakaa mkoani familia inakaa hapa Dar.

Bado natafakari kuna mtu imeshamtokeage hii wadau mliishiaje?
 
Usitoe Talaka... Ukiona Mwanamke anakudai Talaka kuondoka kwako ujue huyo alikuwa na Mwanaume ambaye anataka kukureplace as soon as possible.. Kikubwa kausha na uchune asepe na wewe wakati huo ukitafua njia na jinsi ya kujutia kosa lako na kufanya njia ya kujirekebisha... au mpe likizo ila kikubwa usibishane naye uchune yeye ndiyo awe muanziishi
 
Mimi nilimfumania mke wangu nikamwambia aendelee tuu na huyo mwanaume niliyemfuma naye nipo Dar miaka kadhaa duh namwona mke wangu wanaishi vizuri sana na yule mwanaume japo iliniuma nafurahi jamaa anamtunza kuliko mimi amenenepa kama mbuyu. Bila shaka na wewe utanenepa ila sijajua kama mbuyu au kama sindano.
 
Muombe msamaha wa kweli kuonesha kweli unajutia kosa lako
 
Mkaruka, uli bhwakisi!!!!
 

Anaiandaa mwenyewe talaka.....anataka mimi ni sign tu
 
espy msaidie huyu mkaka jaman amsahau mkewe !
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…