Pombe sio nzuri ikikutawala.
Ila Bangi inafuatana na aina ya Bangi...ukiona bangi mpaka uwe vzr unavuta misokoto zaidi ya moja hio bado tumia tu, kuna bangi nimezikuta nchi zingine zinauzwa bei pia yani pafu 4 to 5 tu aisee unaizima na una sizi muda mrefu hii aina sio nzuri kabisa kabisa