yohana kaitira
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 258
- 238
Barikiwa sana muraMakardinali ni wateule wa papa ambao mara nyingi ni maaskofu katoliki toka majimbo mbalimbali duniani na hawa huunda cardinal oclave baraza ambalo humchagua papa na kardinali akishafikisha miaka 80 hawaruhusiwi tena kupiga kura ya kumchagua papa
Makardinali huchukuliwa kama washauri wa papa kuhusu maswala ya kiimani na mambo mengine yahusuyo kanisa katoliki