Polly Gray wa Peaky Blinders afariki dunia

Franky Samuel

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
4,912
12,988
IMG_1977.jpg

Kwa waliotazama series ya Peaky Blinders wanamjua vyema kama Polly Gray lakini jina lake halisi anaitwa Helen McCrory. Leo amefariki dunia akiwa na miaka 52.

Chanzo cha kifo chake ni Cancer na Mme wake ameripoti kwamba amefariki kwa amani nyumbani akiwa amezungukwa na marafiki pamoja na familia.

Rest Easy Aunt
 
View attachment 1753985

Aunt Polly kwenye Peaky Blinders ndiyo mtu pekee ambae Tommy alikua anamuogopa, Alafu nae Aunt Polly alikua anamugopa Tommy so wanaogopana.

Tommy alikua anaamini kwamba Polly ni mchawi , Ana maono ambayo yanatokea kweli japo wengine walikua wanamuona kama chizi. Ndio maana mission ikipigwa kukiwa na connection ya Polly na Tommy huchomoki.

Lakini Tommy akiwa mwenyewe lazima tu mistake itokee mahala fulani maana timu anayobaki nayo ilikua inajua kutumia nguvu zaidi kuliko akili.

Rest Easy Polly
 
Back
Top Bottom