Mbu - 50%
The Boss - 50%
Naomba nisipige kura...Labda kama nitapewa nafasi ya kutangaza kwamba hakuna mshindi kati ya wagombea waliopendekezwa. kama alivyoshauri BJ hapo juu .....post #3!!
Babu DC!!
Babu DC huwezi kuwa vuguvugu kwenye kura
unachagua mmoja
sio vita, ni burudani tu
Unawe kutupa vigezo kwa nini TB yuko juu ya mbu??
Au utatuambia ni handsome kama mkuu wenu?
As kwa upande wangu....Laiti wangetuongezea kibonde mmoja kama Kongosho ili achakachue kura....Walau tuwe na 51%, 48.8% na 0.2%!!
Kwa sasa mie nitaweka kura yangu mfukoni na kusubiri 2012!!
Babu DC!!
piga tuone kama itaharibikakwangu wote ni washindi nikipiga kura itaharibika
kwangu wote ni washindi nikipiga kura itaharibika
kwani MMu ni nini?
Si burudani na kuelimishana?
Usichukulie kama vile uchaguzi wa rais wa nchi.
Kigezo cha kwanza ni sredi ya nyumba ndogo.
It was a hit.
Ilisambaa sehemu nyingi, na kwa ujumbe ule anastahili kura yangu.
Bado uzi wa wavulana na wanamme, niliupenda sana pia sababu ulikuwa na maana kwangu.
sikuabliani na uteuzi wa kongosho hadi ..............