Political Leadership CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

Bando anatoa wapi na muda wote yupo JF? anapenda maigizo.

Ule ugonjwa sio kama ajali unakupata vupu! Hasha, unaanza taratibu hasa kwa vitendo visivyo vya kawaida, wanajamii wakishtuka mapema anaweza kupona, wakifikiri anafanya utani na maigizo tiba yake yaweza kuwa ngumu!
 
Haya mkuu mimi sina comment sababu siyo Dr.
 
Mods badilisheni heading Isomeke:::: Misukosuko ya kisiasa unapotafuta madaraka...
 
Nilikuwa nafanya utafiti kwa ku-test hypothesis kama ubongo wako upo ok au la!! Leo naenda kuandika last chapter maana nime-conclude kwamba kuna nati imelegea kwenye medula oblongata yako.
 
Haya mkuu mimi sina comment sababu siyo Dr.

Haihitajiki digrii ya psychiatric kumfahamu chizi, machizi hata watoto wadogo wanawafamu, we uliza popote, kwani mtaani kwenu hakuna chizi? uliza alianzaje!
 
My POLITICAL LEADERSHIP C.V

Kuzaliwa: 28 Juni 1980.

CHADEMA.

2009-2011~Chaso founders.

2010~Mgombea Ubunge Jimbo la Lushoto, Uchaguzi Mkuu 2010.(Lushoto nilikuwa masomoni chuo cha Sekuco/Sekomu nikaamua kugombea hukohuko, kwetu Kahama,Shinyanga)

2011-2012~Katibu wa Chadema wilaya ya Lushoto, Tanga.

2011~Mgombea Uenyekiti Taifa wa Bavicha.(matokeo yalipinduliwa akapewa Heche).

2011-1st Publication in Politics~Ukombozi wa Pili wa Taifa Letu.(Deogratius Pio Kisandu).

2011-2012~Katibu wa Bavicha Mkoa wa Tanga.

2011-2012~mjumbe wa kamati tendaji Taifa wa Bavicha kwa mjibu wa katiba lakini tulikuwa tunabaniwa vikao na ndio maana kelele zangu zilikuwa nyingi.

2012 Oktoba~Mtangaza nia Urais kwa tiketi ya Chadema 2015(beef na Dkt. Slaa lilianzia hapa).

2012 Desemba~Kujivua uanachama Chadema(Tafadhali mimi sijafukuzwa, natumiaga Mungu kabla ya maamuzi).

NCCR-MAGEUZI.

2013 Januari~Kujiunga na Nccr-mageuzi.

2013 February-Dec2013~Katibu Mwenezi Taifa Kitengo cha Vijana Nccr mageuzi.

2013 February-2nd Publication in Politics~Utani wa Serikali na Wananchi.(Deogratius Mashaka Kisandu).

2013 May~Mtangaza nia ya Kugombea Urais 2015 kwa tiketi ya Nccr~Mageuzi (beef la kuvurugiwa kazi lilianzia hapa)

2014Jan-Juni(kabla ya kujiudhuru)~Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa(NEC) hapa ndo mabeef yalianza iliniachie ngazi plus wivu wa kijinga.

2014 juni~Kujivua uanachama NCCR-Mageuzi(Tafadhali sikufukuzwa, natumia Hekima ya Mungu kufanya maamuzi)

Chama Cha Mapinduzi a.k.a C C M.

Sept2014~ Kujiunga CCM chama kinachotawala chini ya mapokezi ya Katibu Mkuu Mh.Kinana na Mh.Nape wilayani Lushoto.

2014 up to Jan 2017 Mwanachama Mtelekezwa wa CCM.

ACA-Arena for Correcting Africa-Tanzania.

Januari 2017: Mwanzilishi na Muasisi wa wazo la kuanzisha chama cha Siasa cha Arena for Correcting Africa-Tanzania (ACA).

Your
Sincerely

Deogratius Nalimi Kisandu

Expected Chief chairman of ACA.
Bifu na Slaa iliisha? Au bado mnakula penshen wote
 
1. Deogratius Nalimi Kisandu
2. Deogratius Pio Kisandu
3. Deogratius Mashaka Kisandu
4. !!!!!!!!
 
Sijawahi kuona CV ambayo ndani yake mtu analalamika ndo hii. Jifunze vizuri kuandika CV watalaamu ni wengi sana watakusaidia tu.
Analalamika kutelekezwa! Katelekezwa na wake zake, katelekezwa na wanasiasa, katelekezwa na watoto, katelekezwa na kila kitu.
 
2012 unataka kuwa mwenyekiti Bavicha,2015 unataka kugombea uras

Swali. Mda huo(2012) ulikuwa na miaka mingapi hadi ufikirie urais 2015?
Kwani aliyekatwa kule na kuja huku aligombea akiwa na muda gani ndani ya chama?
 
My POLITICAL LEADERSHIP C.V

Kuzaliwa: 28 Juni 1980.

CHADEMA.

2009-2011~Chaso founders.

2010~Mgombea Ubunge Jimbo la Lushoto, Uchaguzi Mkuu 2010.(Lushoto nilikuwa masomoni chuo cha Sekuco/Sekomu nikaamua kugombea hukohuko, kwetu Kahama,Shinyanga)

2011-2012~Katibu wa Chadema wilaya ya Lushoto, Tanga.

2011~Mgombea Uenyekiti Taifa wa Bavicha.(matokeo yalipinduliwa akapewa Heche).

2011-1st Publication in Politics~Ukombozi wa Pili wa Taifa Letu.(Deogratius Pio Kisandu).

2011-2012~Katibu wa Bavicha Mkoa wa Tanga.

2011-2012~mjumbe wa kamati tendaji Taifa wa Bavicha kwa mjibu wa katiba lakini tulikuwa tunabaniwa vikao na ndio maana kelele zangu zilikuwa nyingi.

2012 Oktoba~Mtangaza nia Urais kwa tiketi ya Chadema 2015(beef na Dkt. Slaa lilianzia hapa).

2012 Desemba~Kujivua uanachama Chadema(Tafadhali mimi sijafukuzwa, natumiaga Mungu kabla ya maamuzi).

NCCR-MAGEUZI.

2013 Januari~Kujiunga na Nccr-mageuzi.

2013 February-Dec2013~Katibu Mwenezi Taifa Kitengo cha Vijana Nccr mageuzi.

2013 February-2nd Publication in Politics~Utani wa Serikali na Wananchi.(Deogratius Mashaka Kisandu).

2013 May~Mtangaza nia ya Kugombea Urais 2015 kwa tiketi ya Nccr~Mageuzi (beef la kuvurugiwa kazi lilianzia hapa)

2014Jan-Juni(kabla ya kujiudhuru)~Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa(NEC) hapa ndo mabeef yalianza iliniachie ngazi plus wivu wa kijinga.

2014 juni~Kujivua uanachama NCCR-Mageuzi(Tafadhali sikufukuzwa, natumia Hekima ya Mungu kufanya maamuzi)

Chama Cha Mapinduzi a.k.a C C M.

Sept2014~ Kujiunga CCM chama kinachotawala chini ya mapokezi ya Katibu Mkuu Mh.Kinana na Mh.Nape wilayani Lushoto.

2014 up to Jan 2017 Mwanachama Mtelekezwa wa CCM.

ACA-Arena for Correcting Africa-Tanzania.

Januari 2017: Mwanzilishi na Muasisi wa wazo la kuanzisha chama cha Siasa cha Arena for Correcting Africa-Tanzania (ACA).

Your
Sincerely

Deogratius Nalimi Kisandu

Expected Chief chairman of ACA.
 
Ule ugonjwa sio kama ajali unakupata vupu! Hasha, unaanza taratibu hasa kwa vitendo visivyo vya kawaida, wanajamii wakishtuka mapema anaweza kupona, wakifikiri anafanya utani na maigizo tiba yake yaweza kuwa ngumu!

Sio kila jambo ni ugonjwa.
 
Sio kila jambo ni ugonjwa.

Na sio kila ugonjwa hujulikana mara moja kama jamii iliyokumbwa na kadhia hiyo haiwajibiki kama ya kwetu. Mimi siamini katika kusubiri muda ufike uamue, wakati mwingine muda ukifika unaamua hasi na kuwaacha hakuna muwezalo kulifanya. Kama si ugonjwa basi kuna tatizo kubwa! Mtaji wa siasa ni watu, matendo yako haya na namna unavyotoa hoja zako mbele ya jamii hakupelekei kukupa wafuasi bali kukimbiwa na washirika. Kupima afya si jambo baya, kama ukipata wasaa nakushauri uende ukapime afya yako ya akili kama wafanyavyo wanasiasa wengine wa hadhi yako na wenye kutaka kufika mbali na kuwasaidia wananchi kama ulivyo wewe. Kila la kheri!
 
Cv mbovu sana hii hata ukimpa mtoto wa darasa la saba atacheka sana huko chuo alikuwa anasoma nini maana kwa cv hii huwez kusema ulikuwa unasoma chuo
 
Askari hakimbii mapigano - hufai kuigwa hata kidogo kila uendako unatanguliza tamaa ya madaraka na uongozi.

Huna subira, si mvumilivu na inaonesha huenda unapenda kutumiwa ili kuvuruga utulivu wa vyama.
 
Back
Top Bottom