Deogratius Nalimi Kisandu
Expected Chief chairman of ACA.
Deogratius Nalimi Kisandu
Expected Chief chairman of ACA. ????????
Deogratius Nalimi Kisandu
Expected Chief chairman of ACA.
Unatuaibisha sana ndugu huwa hakuna resume ya aina hii, hiki Ni kituko..Kumbe Ni kweli umechanganyikiwa nilikuwa sijaamini.My POLITICAL LEADERSHIP C.V
CHADEMA.
2009-2011~Chaso founders.
2010~Mgombea Ubunge Jimbo la Lushoto, Uchaguzi Mkuu 2010.(Lushoto nilikuwa masomoni chuo cha Sekuco/Sekomu nikaamua kugombea hukohuko, kwetu Kahama,Shinyanga)
2011-2012~Katibu wa Chadema wilaya ya Lushoto, Tanga.
2011~Mgombea Uenyekiti Taifa wa Bavicha.(matokeo yalipinduliwa akapewa Heche).
2011-1st Publication in Politics~Ukombozi wa Pili wa Taifa Letu.(Deogratius Pio Kisandu).
2011-2012~Katibu wa Bavicha Mkoa wa Tanga.
2011-2012~mjumbe wa kamati tendaji Taifa wa Bavicha kwa mjibu wa katiba lakini tulikuwa tunabaniwa vikao na ndio maana kelele zangu zilikuwa nyingi.
2012 Oktoba~Mtangaza nia Urais kwa tiketi ya Chadema 2015(beef na Dkt. Slaa lilianzia hapa).
2012 Desemba~Kujivua uanachama Chadema(Tafadhali mimi sijafukuzwa, natumiaga Mungu kabla ya maamuzi).
NCCR-MAGEUZI.
2013 Januari~Kujiunga na Nccr-mageuzi.
2013 February-Dec2013~Katibu Mwenezi Taifa Kitengo cha Vijana Nccr mageuzi.
2013 February-2nd Publication in Politics~Utani wa Serikali na Wananchi.(Deogratius Mashaka Kisandu).
2013 May~Mtangaza nia ya Kugombea Urais 2015 kwa tiketi ya Nccr~Mageuzi (beef la kuvurugiwa kazi lilianzia hapa)
2014Jan-Juni(kabla ya kujiudhuru)~Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa(NEC) hapa ndo mabeef yalianza iliniachie ngazi plus wivu wa kijinga.
2014 juni~Kujivua uanachama NCCR-Mageuzi(Tafadhali sikufukuzwa, natumia Hekima ya Mungu kufanya maamuzi)
Chama Cha Mapinduzi a.k.a C C M.
Sept2014~ Kujiunga CCM chama kinachotawala chini ya mapokezi ya Katibu Mkuu Mh.Kinana na Mh.Nape wilayani Lushoto.
2014 up to Jan 2017 Mwanachama Mtelekezwa wa CCM.
ACA-Arena for Correcting Africa-Tanzania.
Januari 2017: Mwanzilishi na Muasisi wa wazo la kuanzisha chama cha Siasa cha Arena for Correcting Africa-Tanzania (ACA).
Your
Sincerely
Deogratius Nalimi Kisandu
Expected Chief chairman of ACA.
My POLITICAL LEADERSHIP C.V

Huyu jamaa anaakili timamu isipokuwa anapima upepo, siku hizi kila siku lazima atoke na jambo.
Kwa nini usiungane na Lipumba mkuu?
Deogratius Pio Kisandu
Deogratius Mashaka Kisandu
Deogratius Nalimi Kisandu
Kwa hapo na hiyo CV yake hata hivyo vitabu vyake ni utmbo mtupu
Deogratius Pio Kisandu
Deogratius Mashaka Kisandu
Deogratius Nalimi Kisandu
Hayo majina ni mtu mmoja?
Hakyamungu nimecheka kwa sauti hadi ofisini watu wananishangaa. 'CV ndani mtu analalamika'.Sijawahi kuona CV ambayo ndani yake mtu analalamika ndo hii. Jifunze vizuri kuandika CV watalaamu ni wengi sana watakusaidia tu.
Duuuuuuh, nilijua utakuja na muono tofauti kumbe ndio walewale neno moja litafsiri katiba yote au sheria zote?Katiba yetu inakinzana, moja ya sifa ya kugombea Urais uwe na sifa ya kugombea Ubunge. Kwa hiyo sifa ninazo.
Huyu bwana angekaa na Lipumba wangeelewana sana.Kwa hapo na hiyo CV yake hata hivyo vitabu vyake ni utmbo mtupu
Bando anatoa wapi na muda wote yupo JF? anapenda maigizo.Weeeee, weeeee acha kabisa, acha ndugu yangu, wenye akili timamu hawako hivi, kama huyu jamaa unamuona ana akili timamu basi nakushauri kwa upendo kabisa ndugu yangu, nenda pale kitengo cha afya ya akili Muhimbili ufanye vipimo ujione wewe mwenyewe ukoje!
Lipumba siunaona anakula pipi muda wote(Magogoni).kama alitelekezwa na ccm hawezi kuungana nae maana fisiem B Lipumba