MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,891
- 40,165
Keep it up brother, i see a bright political future ahead of you. Safari ya kilometer mia inaanza na hatua moja, umekwisha piga hatua nyingi, usikate tamaa.
Deo bora ufanye ulichosomea huko sekuco tu hizi mambo za siasa waachie kina Zitto
Keep it up brother, i see a bright political future ahead of you. Safari ya kilometer mia inaanza na hatua moja, umekwisha piga hatua nyingi, usikate tamaa.
Pole mkuuHeri yangu Mimi msanii kuliko wewe muigizaji. Ukweli mmeumbuka.
kama alitelekezwa na ccm hawezi kuungana nae maana fisiem B LipumbaKwa nini usiungane na Lipumba mkuu?
Huko nako ukitangaza nia ya kugombea urais ndiyo itakuwa mwisho wako maana inaonekana una tamaa sana na hujifunzi kwa yaliyokupata, ukitoka huko uende jahazi asilia.
Wewe ndio utaokota makopo.
ACA inahitaji watu kama wewe.
Hakikisha una wachuja wanachama vizuri, wale too much know wasiingie. Utakuwa na mabifu na wangapi?My POLITICAL LEADERSHIP C.V
CHADEMA.
2009-2011~Chaso founders.
2010~Mgombea Ubunge Jimbo la Lushoto, Uchaguzi Mkuu 2010.(Lushoto nilikuwa masomoni chuo cha Sekuco/Sekomu nikaamua kugombea hukohuko, kwetu Kahama,Shinyanga)
2011-2012~Katibu wa Chadema wilaya ya Lushoto, Tanga.
2011~Mgombea Uenyekiti Taifa wa Bavicha.(matokeo yalipinduliwa akapewa Heche).
2011-1st Publication in Politics~Ukombozi wa Pili wa Taifa Letu.(Deogratius Pio Kisandu).
2011-2012~Katibu wa Bavicha Mkoa wa Tanga.
2011-2012~mjumbe wa kamati tendaji Taifa wa Bavicha kwa mjibu wa katiba lakini tulikuwa tunabaniwa vikao na ndio maana kelele zangu zilikuwa nyingi.
2012 Oktoba~Mtangaza nia Urais kwa tiketi ya Chadema 2015(beef na Dkt. Slaa lilianzia hapa).
2012 Desemba~Kujivua uanachama Chadema(Tafadhali mimi sijafukuzwa, natumiaga Mungu kabla ya maamuzi).
NCCR-MAGEUZI.
2013 Januari~Kujiunga na Nccr-mageuzi.
2013 February-Dec2013~Katibu Mwenezi Taifa Kitengo cha Vijana Nccr mageuzi.
2013 February-2nd Publication in Politics~Utani wa Serikali na Wananchi.(Deogratius Mashaka Kisandu).
2013 May~Mtangaza nia ya Kugombea Urais 2015 kwa tiketi ya Nccr~Mageuzi (beef la kuvurugiwa kazi lilianzia hapa)
2014Jan-Juni(kabla ya kujiudhuru)~Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa(NEC) hapa ndo mabeef yalianza iliniachie ngazi plus wivu wa kijinga.
2014 juni~Kujivua uanachama NCCR-Mageuzi(Tafadhali sikufukuzwa, natumia Hekima ya Mungu kufanya maamuzi)
Chama Cha Mapinduzi a.k.a C C M.
Sept2014~ Kujiunga CCM chama kinachotawala chini ya mapokezi ya Katibu Mkuu Mh.Kinana na Mh.Nape wilayani Lushoto.
2014 up to Jan 2017 Mwanachama Mtelekezwa wa CCM.
ACA-Arena for Correcting Africa-Tanzania.
Januari 2017: Mwanzilishi na Muasisi wa wazo la kuanzisha chama cha Siasa cha Arena for Correcting Africa-Tanzania (ACA).
Your
Sincerely
Deogratius Nalimi Kisandu
Expected Chief chairman of ACA.
Nilipoiona hii nikajua huyu jamaa muda si mrefu ndugu zake watajua thamani ya kamba ya Katani.Deogratius Pio Kisandu
Deogratius Mashaka Kisandu
Deogratius Nalimi Kisandu
Nilipoiona hii nikajua huyu jamaa muda si mrefu ndugu zake watajua thamani ya kamba ya Katani.
Yule aliyekwenda kujiulia Uganda alianza hivi hivi kulalamika kwamba ametelekezwa.Kaka huyo pona yake ni kurudi madhabauni alipoharibu,