Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,438
- 100,722
CV haindikwi hivyo!!2011~Mgombea Uenyekiti Taifa wa Bavicha.(matokeo yalipinduliwa akapewa Heche).
CV haindikwi hivyo!!2011~Mgombea Uenyekiti Taifa wa Bavicha.(matokeo yalipinduliwa akapewa Heche).
Mhh, kwa haya anayotenda, kuna mashaka makubwa!Huyu jamaa anaakili timamu isipokuwa anapima upepo, siku hizi kila siku lazima atoke na jambo.
Ni kasoro zipi ambazo mmeziona Afrika zinazohitaji marekebisho?
Itakuwaje ugombee Urais huku hujatimiza miaka 40? ulishasema ulizaliwa mwaka 1980 mpaka 2015 ni miaka 35, itakuwaje utangaze kugombea Urais kama siyo mvurugaji wewe? Itakuwa umepunguza miaka wewe.
Ngoja tuoneMhh, kwa haya anayotenda, kuna mashaka makubwa!
Naona amesoma ile comment ameshaanza kujibu.Ngoja tuone
Haya mkuuKatiba yetu inakinzana, moja ya sifa ya kugombea Urais uwe na sifa ya kugombea Ubunge. Kwa hiyo sifa ninazo.
Jamaa ni msanii haswa.Naona amesoma ile comment ameshaanza kujibu.
Jamaa ni msanii haswa.
Tatizo lake ajatabua nini hitaji lake kisiasaYaani Deo kutokana na cv yako hapo juu hufai kuwa hata mwenyekiti wa mtaa labda balozi wa nyumba kumi,,...
Hivi huyu hana ndugu wakamuawahi kabla hajageuza jalala kuwa mgahawa wake?
Ngoja mkuu arudi huwaga anapita huku kuna wilaya iko wazi inaweza kuwa yako...lakini ninkwanini usiende tu kumuona kinana pale.lumumba akusetie mchongo wa moja kwa.moja kuliko.hivi unazunguka sana? Kama vipi mcheki.haruna naye anaweza kukusaidia kwa upande ule