Political Leadership CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
My POLITICAL LEADERSHIP C.V

Kuzaliwa: 28 Juni 1980.

CHADEMA.

2009-2011~Chaso founders.

2010~Mgombea Ubunge Jimbo la Lushoto, Uchaguzi Mkuu 2010.(Lushoto nilikuwa masomoni chuo cha Sekuco/Sekomu nikaamua kugombea hukohuko, kwetu Kahama,Shinyanga)

2011-2012~Katibu wa Chadema wilaya ya Lushoto, Tanga.

2011~Mgombea Uenyekiti Taifa wa Bavicha.(matokeo yalipinduliwa akapewa Heche).

2011-1st Publication in Politics~Ukombozi wa Pili wa Taifa Letu.(Deogratius Pio Kisandu).

2011-2012~Katibu wa Bavicha Mkoa wa Tanga.

2011-2012~mjumbe wa kamati tendaji Taifa wa Bavicha kwa mjibu wa katiba lakini tulikuwa tunabaniwa vikao na ndio maana kelele zangu zilikuwa nyingi.

2012 Oktoba~Mtangaza nia Urais kwa tiketi ya Chadema 2015(beef na Dkt. Slaa lilianzia hapa).

2012 Desemba~Kujivua uanachama Chadema(Tafadhali mimi sijafukuzwa, natumiaga Mungu kabla ya maamuzi).

NCCR-MAGEUZI.

2013 Januari~Kujiunga na Nccr-mageuzi.

2013 February-Dec2013~Katibu Mwenezi Taifa Kitengo cha Vijana Nccr mageuzi.

2013 February-2nd Publication in Politics~Utani wa Serikali na Wananchi.(Deogratius Mashaka Kisandu).

2013 May~Mtangaza nia ya Kugombea Urais 2015 kwa tiketi ya Nccr~Mageuzi (beef la kuvurugiwa kazi lilianzia hapa)

2014Jan-Juni(kabla ya kujiudhuru)~Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa(NEC) hapa ndo mabeef yalianza iliniachie ngazi plus wivu wa kijinga.

2014 juni~Kujivua uanachama NCCR-Mageuzi(Tafadhali sikufukuzwa, natumia Hekima ya Mungu kufanya maamuzi)

Chama Cha Mapinduzi a.k.a C C M.

Sept2014~ Kujiunga CCM chama kinachotawala chini ya mapokezi ya Katibu Mkuu Mh.Kinana na Mh.Nape wilayani Lushoto.

2014 up to Jan 2017 Mwanachama Mtelekezwa wa CCM.

ACA-Arena for Correcting Africa-Tanzania.

Januari 2017: Mwanzilishi na Muasisi wa wazo la kuanzisha chama cha Siasa cha Arena for Correcting Africa-Tanzania (ACA).

Your
Sincerely

Deogratius Nalimi Kisandu

Expected Chief chairman of ACA.
 
Yaani Deo kutokana na cv yako hapo juu hufai kuwa hata mwenyekiti wa mtaa labda balozi wa nyumba kumi,,...
 
2012 unataka kuwa mwenyekiti Bavicha,2015 unataka kugombea uras

Swali. Mda huo(2012) ulikuwa na miaka mingapi hadi ufikirie urais 2015?
 
My POLITICAL LEADERSHIP C.V

CHADEMA.

2009-2011~Chaso founders.

2010~Mgombea Ubunge Jimbo la Lushoto, Uchaguzi Mkuu 2010.(Lushoto nilikuwa masomoni chuo cha Sekuco/Sekomu nikaamua kugombea hukohuko, kwetu Kahama,Shinyanga)

2011-2012~Katibu wa Chadema wilaya ya Lushoto, Tanga.

2011~Mgombea Uenyekiti Taifa wa Bavicha.(matokeo yalipinduliwa akapewa Heche).

2011-1st Publication in Politics~Ukombozi wa Pili wa Taifa Letu.(Deogratius Pio Kisandu).

2011-2012~Katibu wa Bavicha Mkoa wa Tanga.

2011-2012~mjumbe wa kamati tendaji Taifa wa Bavicha kwa mjibu wa katiba lakini tulikuwa tunabaniwa vikao na ndio maana kelele zangu zilikuwa nyingi.

2012 Oktoba~Mtangaza nia Urais kwa tiketi ya Chadema 2015(beef na Dkt. Slaa lilianzia hapa).

2012 Desemba~Kujivua uanachama Chadema(Tafadhali mimi sijafukuzwa, natumiaga Mungu kabla ya maamuzi).

NCCR-MAGEUZI.

2013 Januari~Kujiunga na Nccr-mageuzi.

2013 February-Dec2013~Katibu Mwenezi Taifa Kitengo cha Vijana Nccr mageuzi.

2013 February-2nd Publication in Politics~Utani wa Serikali na Wananchi.(Deogratius Mashaka Kisandu).

2013 May~Mtangaza nia ya Kugombea Urais 2015 kwa tiketi ya Nccr~Mageuzi (beef la kuvurugiwa kazi lilianzia hapa)

2014Jan-Juni(kabla ya kujiudhuru)~Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa(NEC) hapa ndo mabeef yalianza iliniachie ngazi plus wivu wa kijinga.

2014 juni~Kujivua uanachama NCCR-Mageuzi(Tafadhali sikufukuzwa, natumia Hekima ya Mungu kufanya maamuzi)

Chama Cha Mapinduzi a.k.a C C M.

Sept2014~ Kujiunga CCM chama kinachotawala chini ya mapokezi ya Katibu Mkuu Mh.Kinana na Mh.Nape wilayani Lushoto.

2014 up to Jan 2017 Mwanachama Mtelekezwa wa CCM.

ACA-Arena for Correcting Africa-Tanzania.

Januari 2017: Mwanzilishi na Muasisi wa wazo la kuanzisha chama cha Siasa cha Arena for Correcting Africa-Tanzania (ACA).

Your
Sincerely

Deogratius Nalimi Kisandu

Expected Chief chairman of ACA.

Nadhani una tatizo kwenye sehemu moja ya Ubongo wako, CCM KWELI WALIKUUMIZA..
 
Mtu akiamua kukaa kimya huficha mengi sana. Ndugu yangu Deo,nahisi kama unawaaibisha wana Kahama. Ungebakia kimya sidhani kama kuna mtu angekuelewa kama sasa ambavyo watu umewaanikia undani wako. Binafsi nilikuwa hata sikujui kabisa,niliwahi kukusikia kwa mbali sana. Kupitia posts zako nimekuelewa zaidi ya inavyotakiwa.
Kwa kukusaidia tu ngosha ngw'ichane,achana na siasa kabisaaa. Hufai kuwa mwanasiasa,kaajiriwe au ufanye jambo moja kati ya UFUGAJI au UKULIMA. Siasa ni mwelekeo hasi kwako.
Namala nkoyi.
 
Itakuwaje ugombee Urais huku hujatimiza miaka 40? ulishasema ulizaliwa mwaka 1980 mpaka 2015 ni miaka 35, itakuwaje utangaze kugombea Urais kama siyo mvurugaji wewe? Itakuwa umepunguza miaka wewe.
 
Mtu akiamua kukaa kimya huficha mengi sana. Ndugu yangu Deo,nahisi kama unawaaibisha wana Kahama. Ungebakia kimya sidhani kama kuna mtu angekuelewa kama sasa ambavyo watu umewaanikia undani wako. Binafsi nilikuwa hata sikujui kabisa,niliwahi kukusikia kwa mbali sana. Kupitia posts zako nimekuelewa zaidi ya inavyotakiwa.
Kwa kukusaidia tu ngosha ngw'ichane,achana na siasa kabisaaa. Hufai kuwa mwanasiasa,kaajiriwe au ufanye jambo moja kati ya UFUGAJI au UKULIMA. Siasa ni mwelekeo hasi kwako.
Namala nkoyi.
Hebu msaidie labda atakuelewa wewe sisi tumechoka.
 
Mkuu Deo Uroho wa madaraka ndio unakumaliza , unahama kutoka chama kimoja kwenda kingine kutafuta madaraka.
Lazima utashindwa tu.
 
Back
Top Bottom