political federation within EAC

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Wanajumuiya mnaopenda kubishana Salaam Kwenu... Nimetafakari hili jambo la Political federation maana ni moja ya maazimio ya EAC ukiachilia mawala ya monetary union, custom union e.t.c. Political federation ndani ya EAC huwenda likachukua muda sana kutekelezeka nitolee mfano kinachoendelea sasa baina ya UG na RW ni wazi ya kwamba Political federation ni Ndoto ktk usingizi usio na mwisho. Sababu ya kusema political federation ni ndoto ktk usingizo usio na mwisho ni kulingana na hali ya siasa ndani nchi husika ,..mfano ndani ya Rwanda inaoneka kumesettle lkn bado kuna mvutano baina ya chama tawala na wale waasi, Upande wa Kenya siasa zao zinasumbuliwa sana na UKABILA, upande wa Uganda ni some sort ya chama tawala milele +uwepo wa vikundi vya waasi vilivyopo mafichoni kwa upande wa TZ huko siasa zao ni changamoto kila kuchapo bado kuna mitazamo tofauti kuhusu siasa za muungano ..Hayo yotee ni viashiria vya awali ya kuwepo kwa changamoto ktk utekelezaj wa kuwa na shirikisho la kisiasa ndani ya EAC
 
Back
Top Bottom