Political cartoons

BiMkubwa

JF-Expert Member
Jan 9, 2007
529
97
WanaJF,

Katika pitapita zangu nimeona hatuna thread ya Political cartoons. Sometimes we need humour hata katika yale yenye kutuumiza kiakili. Kwa hiyo nimechukua fursa hii kuiazisha thread hii ili yeyote mwenye political cartoon abandike hapa ili tufurahi pamoja.

ninaanza na ya US elections 08

2513109256_d1966438ce.jpg
 
WanaJF,

Katika pitapita zangu nimeona hatuna thread ya Political cartoons. Sometimes we need humour hata katika yale yenye kutuumia kiakili. Kwa hiyo nimechukua fursa hii kuiazisha thread hii ili yeyote mwenye political cartoon abandike hapa ili tufurahi pamoja.

ninaanza na ya US elections 08

2513109256_d1966438ce.jpg

wewe una hatari !subiri nyani aje aone hii ! tena na mama anadrop out jumamosi kitaanani !
chadema pia huwa wanachoraga katuni kwenye site yao !
 
Acha tu Kada! Hii yote tuingie na tucheke. Hahahahhahahahahha!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom