Polisi Zanzibar: Sheikh Farid wa Uamsho hakutekwa; kufikishwa mahakamani

basi ashtakiwe kwa 'fake kidnapping', inciting violence, killing of a police officer...hayo ni makosa ya jinai ambayo huwezi pewa dhamana...afungwe jela indefinitely huyu ndio atatuletea machafuko nchi hii
 
OMG: ndiyo Naibu waziri wa Elimu huyu? Tumekwisha!!!

Hii ni hatari ndio nikawaambia musishangae sana hawa vijana ni kuwaonea huruma wengine wamedandia wako ulaya na marekani wanahangaikia boksi , jioni wanapumzika na bia zao hapa JF , watafikili saa ngapi???
 
inawezekana kabisa kujiteka huku kulikuwa kumepangwa sambamba na kumshawishi mtoto akojolee koran lengo likiwa ni kuanzisha vurugu kubwa za kidini tz nzima...
 
Nasubiri kesho charge sheet yake itakuwa na count zipi. Watu wengine tusije tukana harafu tukapigwa ban bure
 
Huyu sheikh Farid amesababisha vurugu na kifo cha askari.Asipewe dhamana kama sheikh Ponda ili iwe fundisho kwa mijitu mingine yenye tabia za kipuuzi kama hizi.

kwani polisi wa bara walikiri KUMTEKA ULIMBOKA,,,,,
BORA UWE NA BOGA KULIKO KICHWA ULICHONACHO,,,,,,
 
aisee kweli jamiiforums ni zaidi ya unavyoidhania....hii ishu si iliandikwa mapema kabisa apa.mungu ibariki JF
 
afadhali ya dokta ulimboka maana inaleta sense kwa kuwa ushahidi wa kichapo tuliuona siyo huyu aliyerudi hana hata mkwaruzo!

nyie ndio wale ambao wakisikia ajali hawaamin hadi waskie au waone kuna watu wamekufa,,,,,au kupoteza viungo,,,pole sana CHUMA,,,,akil yako kama chuma,halisogei hadi lisogezwe
 
Kwa takribani wiki 2 sasa naona wadau humu wanawasifia polisi na kuwaelekeza waue kabisaaaa,,,,,,,,
ila baadae msije kuanza kuwatukana polisi na kuwaona hawafai,,,,,,
sie yetu macho tu hapa,,,mtaanza kutaka tume na kamat ziundwe,,,,,,
 
Kamishna wa polisi ZNZ amesema kiongozi wa uamsho sheikh Farid hakutekwa bali alijifanya ametekwa ili kuanzisha vurugu zilizosababisha kifo cha askari.

Pia amesema wamewakamata baadhi ya viongozi wa uamsho na watafikishwa mahakamani kesho Jumatatu.
Binafsi nawashangaa sana watanzania. Huyo kamishna amesema nini hata tumuamini?- Hata kama ni kweli uamsho pia hawaaminiki!? Hivi kuna mtu kweli yupo timamu anategemea serikali ikubali hadharani kuwa ilimteka raia wake? Kuna tofauti gani na tukio la Dr Uli ambapo mpaka leo serikali "inakataa" kuhusika?-pamoja na kuwapo kwa ushahidi wa waziwazi!
 
mkuu..lakini waliowahi tekwa na serikali sote tunajua walivopatikana either hawana kucha na meno au maiti kabisa...lakini shehe karudi na kanzu nyeupeeeeeee hata damu na anatabasamu..hope ulimuona ulimboka alivorudi from mwabepande alikua hacheki anaugulia kiume...i dont buy ulichopost about huu utekaji wa shehe.

Mwambie huyo mpuuzi mwenzao. Mkuu hawa jamaa shule hakuna. Hivyo thinking capacity yao ni ndogo sana , nahihis hata IQ yao=40.
 
Huyo sheikh abanwe aeleze what was the motive behind? lazima kuna kitu, serikali fungueni macho hiyo inaweza ikawa maandalizi ya jambo jingine kubwa zaidi..... that was a rehearsal!
 
Back
Top Bottom