Polisi Zanzibar: Sheikh Farid wa Uamsho hakutekwa; kufikishwa mahakamani

Huyu sheikh Farid amesababisha vurugu na kifo cha askari.Asipewe dhamana kama sheikh Ponda ili iwe fundisho kwa mijitu mingine yenye tabia za kipuuzi kama hizi.
yan kwenye uislam kama kungekua wanaruhusu ndoa za jinsia moja kama dini zingne ningemtaftia shababi fulani amweke ndani huyu faridi,amekua kero sana,bora afungwe tuh..
 
mkuu..lakini waliowahi tekwa na serikali sote tunajua walivopatikana either hawana kucha na meno au maiti kabisa...lakini shehe karudi na kanzu nyeupeeeeeee hata damu na anatabasamu..hope ulimuona ulimboka alivorudi from mwabepande alikua hacheki anaugulia kiume...i dont buy ulichopost about huu utekaji wa shehe.

Jinsi Damu ya CHADEMA inavyowaathiri katika miili yenu na mulivyo na CHUKI dhidi ya UISLAMU naamini haya ndio mawazo ya wengi hapa JF, munachukulia
kutekwa ni kupigwa ama kuteswa kama
alivyofanywa Dk Ulimboka na
munajisahaulisha kama kuna aina njingi ya utekaji. Ingefurahisha zaidi kama mungekua wawazi na kukubali kwamba utekaji wa makachero wa usalama
wa taifa huwa ni wakutumia akili na maarifa mengi na wala hawakurupuki.
Dr Ulimboka alitekwa
kwa lengo la kumuua na Sheikh Farid katekwa kwa lengo la kuwachanganya wananchi na kuwagawa katika mitizamo yao.
Hapa ni lazima utekaji wao lazima uwe tofauti. CHADEMA muna matatizo sana nyinyi!
 
ulimboka22.jpg
DK.+ULIMBOKA.jpg
0000000000000001adkuli.jpg
 
Mimi naamini kabisa huyu bwana alitekwa kwani watu wetu wa serikali wameishiwa mbinu kabisa za kuweza kueleza umma ukweli na tatizo jingine amablo watanzania tunapaswa kulielewa sasa hivi na kwa kipindi cha mda mrefu sasa suala la nani ana toa habari na habari kuwa ya ukweli imekuwa ni tatizo kubwa kwa upande wa serikali.
serikali yetu imekuwa ikitoa habari nyingi tu zinakuwa si za ukweli na kujaribu kuiaminisha jamii kuwa ni kweli angalia matukio mengi yamauji ambayo yanaendelea nchini mara zote serikali imetoa taarifa zinazopingana na hali halisi sasa baada ya maaduia ujinga maradhi na maadui wengine sasa hivi tuna adui mwingine TAARIFA ZA UONGO na naomba jamii ya watanzania tusiwe wavivu wa kufikiri tujitahidi sana kufanya uchambuzi wa taarifa tunazopewa kwa maana tutarisisha watoto wetu tabia za ajabu na ndio mwanzo wa kuua taifa letu let us be analytical of what is happening now in our country so that at least we can provide to the best of our knoweledge better leaving for the coming generation
 
Kamishna wa polisi ZNZ amesema kiongozi wa uamsho sheikh Farid hakutekwa bali alijifanya ametekwa ili kuanzisha vurugu zilizosababisha kifo cha askari.Pia amesema wamewakamata baadhi ya viongozi wa uamsho na watafikishwa mahakamani kesho jumatatu.

KAMA ni KWELI... na Kusababisha KIFO cha MFANYAKAZI wa SERIKALI yaani POLISI... SHEIKH FARID ni GAIDI kwahiyo UMAMSHO ni MATERORIST...
 
Jinsi Damu ya CHADEMA inavyowaathiri katika miili yenu na mulivyo na CHUKI dhidi ya UISLAMU naamini haya ndio mawazo ya wengi hapa JF, munachukulia
kutekwa ni kupigwa ama kuteswa kama
alivyofanywa Dk Ulimboka na
munajisahaulisha kama kuna aina njingi ya utekaji. Ingefurahisha zaidi kama mungekua wawazi na kukubali kwamba utekaji wa makachero wa usalama
wa taifa huwa ni wakutumia akili na maarifa mengi na wala hawakurupuki.
Dr Ulimboka alitekwa
kwa lengo la kumuua na Sheikh Farid katekwa kwa lengo la kuwachanganya wananchi na kuwagawa katika mitizamo yao.
Hapa ni lazima utekaji wao lazima uwe tofauti. CHADEMA muna matatizo sana nyinyi!

kama hufahamu UWT usiongelee kabisa .unaelewa maana ya "interrogation" wewe au unasikia? muulize raisi mwai kibaki atakwambia vizuri enzi za moi atakwambia vizuri.
 
Mimi nilishatoa maoni yangu kuwa yeye na seif sharifu wanapima upepo kuona kama wanaungwa mkono na wanachi wengi na ingekuwa hivyo wangetangaza maasi kamili na serikali. shame upon all crooks.let them be jailed for good.
 
Mimi naamini kabisa huyu bwana alitekwa kwani watu wetu wa serikali wameishiwa mbinu kabisa za kuweza kueleza umma ukweli na tatizo jingine amablo watanzania tunapaswa kulielewa sasa hivi na kwa kipindi cha mda mrefu sasa suala la nani ana toa habari na habari kuwa ya ukweli imekuwa ni tatizo kubwa kwa upande wa serikali.
serikali yetu imekuwa ikitoa habari nyingi tu zinakuwa si za ukweli na kujaribu kuiaminisha jamii kuwa ni kweli angalia matukio mengi yamauji ambayo yanaendelea nchini mara zote serikali imetoa taarifa zinazopingana na hali halisi sasa baada ya maaduia ujinga maradhi na maadui wengine sasa hivi tuna adui mwingine TAARIFA ZA UONGO na naomba jamii ya watanzania tusiwe wavivu wa kufikiri tujitahidi sana kufanya uchambuzi wa taarifa tunazopewa kwa maana tutarisisha watoto wetu tabia za ajabu na ndio mwanzo wa kuua taifa letu let us be analytical of what is happening now in our country so that at least we can provide to the best of our knoweledge better leaving for the coming generation

waliompigia simu ni jamaa zake nao wamekamatwa na wadai jamaa wala hakutekwa.
 
Dawa ya watu kama hao ni ile iliyotumika Mombassa kwa shehe Aboud Logo. Hachochei tena yuko kimya huko aliko anakula jeuri yake.
 
Jinsi Damu ya CHADEMA inavyowaathiri katika miili yenu na mulivyo na CHUKI dhidi ya UISLAMU naamini haya ndio mawazo ya wengi hapa JF, munachukulia
kutekwa ni kupigwa ama kuteswa kama
alivyofanywa Dk Ulimboka na
munajisahaulisha kama kuna aina njingi ya utekaji. Ingefurahisha zaidi kama mungekua wawazi na kukubali kwamba utekaji wa makachero wa usalama
wa taifa huwa ni wakutumia akili na maarifa mengi na wala hawakurupuki.
Dr Ulimboka alitekwa
kwa lengo la kumuua na Sheikh Farid katekwa kwa lengo la kuwachanganya wananchi na kuwagawa katika mitizamo yao.
Hapa ni lazima utekaji wao lazima uwe tofauti. CHADEMA muna matatizo sana nyinyi!
yaani usalama wa taifa wawachanganye na kuwagawa wananchi?
Kwa maslahi ya nani hasa?
 
Dr. Ulimboka naye pia alijiteka, akajitesa na kujitupa msitu wa pande maana ndo majibu ya polisi wetu na Ikulu hayo.
 
Ana bahati sana ni kipindi hiki, ingekuwa kipindi cha "ngunguri" na mzee Ben, angekuwa marehemu siku nyingi.Huwezi kufanya upuuzi kama huu.
 
Hata Igondu Ikulu imemkana sitaojana ajabu polisi kusema Farid hakutekwa ili kupotosha ukweli.
 
Ndio matatizo ya kutafuta cheap popularity, huyu mtu inatakiwa aozee gerezani, this is murder case, uchunguzi mpaka hukumu yake ni 2025. Nitashangaa kama hatashitakiwa kwa kosa na kusababisha kifo cha askari asiyekuwa na hatia
 
Back
Top Bottom