Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,115
- 26,595
nilishasema na ninarudia,hakutekwa,alijificha ili kupata chanzo cha vurugu
mkuu kuna tofauti, ulimboka angalau kucha alinyofolewa na si huyu sheikh amerudi akiwa soft kama kawa.uchunguzi wa kina ufanyike!Binafsi nawashangaa sana watanzania. Huyo kamishna amesema nini hata tumuamini?- Hata kama ni kweli uamsho pia hawaaminiki!? Hivi kuna mtu kweli yupo timamu anategemea serikali ikubali hadharani kuwa ilimteka raia wake? Kuna tofauti gani na tukio la Dr Uli ambapo mpaka leo serikali "inakataa" kuhusika?-pamoja na kuwapo kwa ushahidi wa waziwazi!
duu mkuu hiyo umeua, yaani kajinyofoa mpaka kucha,meno bila ganzi,duu kweli binadamu tunatisha.SERIKALI AMBAYO HAIKUHUSIKA NA UTEKWAJI WA ULIMBOKA LEO VILE VILE HAIHUSIKI NA UTEKWAJI WA FARID,kwa mtazamo wang mi naona dr.ulimboka alijiteka mwenyewe .
mkuu hata kucha hajanyofolewa,mi nadhani tufanye tafiti ya kina. Huu ni usanii mkuu!Kama shekh farid hakutekwa na serikali basi mslazimishe kuwa dr.ulimboka alitekwa na serikali, nyie cdm vp au kwa kuwa shekh farid hamumtumii kisiasa?
Sheikh Farid sio mara ya kwanza kutekwa, na kila aliyetekwa si lazima ang'olewe kucha...inategemea na mazingira...Chuki yako dhidi ya Sheikh Farid ndio inayokufanya uamini hivyo.
Mkuu SMU ishu sio watu wanamwamini kamishna(makamishna hatuwaamini). Utata umeonekana kwenye mahojiano yake ya mwanzo kabisa mara baada ya kuonekana.Binafsi nawashangaa sana watanzania. Huyo kamishna amesema nini hata tumuamini?- Hata kama ni kweli uamsho pia hawaaminiki!? Hivi kuna mtu kweli yupo timamu anategemea serikali ikubali hadharani kuwa ilimteka raia wake? Kuna tofauti gani na tukio la Dr Uli ambapo mpaka leo serikali "inakataa" kuhusika?-pamoja na kuwapo kwa ushahidi wa waziwazi!
....hujamalizia sentensi mbona!Dr. Ulimboka naye pia alijiteka, akajitesa na kujitupa msitu wa pande maana ndo majibu ya polisi wetu na Ikulu hayo.
Huyu sheikh Farid amesababisha vurugu na kifo cha askari.Asipewe dhamana kama sheikh Ponda ili iwe fundisho kwa mijitu mingine yenye tabia za kipuuzi kama hizi.
Sijui kwanini huwa munajitoa akili pale jambo linakuwa ni waislam????mbona akili za kawaida hazikubali kabisa!!!Huo ndio ukweli wenyewe. Sheikh Farid alijiteka mwenyewe, wakaipa serikali masaa 26 kumrelease, ilipofikia masaa 26 Sheikh Farid alijirelease kutoka mafichoni, kuonyesha serikali imesalimu amri kwa Uamsho
Sijui kwanini huwa munajitoa akili pale jambo linakuwa ni waislam????mbona akili za kawaida hazikubali kabisa!!!
Sijui kwanini huwa munajitoa akili pale jambo linakuwa ni waislam????mbona akili za kawaida hazikubali kabisa!!!
Mbona cdm inaposababisha vifo ya watu kwenye mikutano yao huwa hamtoi matamko ya kishujaa kama haya!!!!hapo ndipo munaponiacha hoi nyie MAKAFIRI.!!
Kama nilivyosema mwanzo, hata kama Farid haamininiki sana kutokana na maelezo yake kuwa na kasoro, binafsi nasita pia kuwaamini polisi kutokana na matukio kadhaa yaliyopita na jinsi walivyojaribu kupindisha taarifa (morogoro, iringa, dr uli nk)....Usalama wa taifa wakikuchukua kimyakimya ujue haurudi. Ulimboka walidhani ameshakufa that was the mistake.
Usalama wataifa sio wajingawajinga wakuteke halafu wakuachie urudi, huwa hawafanyi hivyo kwa sababu ukirudi mtaani umaarufu wako utazidi mara dufu, halafu utawasumbua.
Kama Farid alitekwa(kitu ambacho siamini) atakuwa ametekwa na wahuni wengine sio usalama wa taifa.
BREAKING NEWS Sauti ya UST Farid na Salma Said | Mzalendo.net
siyo serikali ya umoja wa kitaifaSerikali imeshateka raia mara kadhaa...Hawana mpya viongozi wa jeshi la Polisi wana chukua amri kwa viongozi wa CCM.
eti wanausalama wa bongo wakae na wewe karibu siku mbili uunarudi umeshaini....we mcheki ponda siku anapelekwa mahakamani hakutekwa lakini hakuwa katka hali ya usafi kama mheshimiwa farid hapa kanzu inang'aamkuu kuna tofauti, ulimboka angalau kucha alinyofolewa na si huyu sheikh amerudi akiwa soft kama kawa.uchunguzi wa kina ufanyike!