Polisi Zanzibar: Sheikh Farid wa Uamsho hakutekwa; kufikishwa mahakamani

jamaa anajua kucheza na akili za watu kweli, kweli shule inasaidia jamani
 
Kama shekh farid hakutekwa na serikali basi mslazimishe kuwa dr.ulimboka alitekwa na serikali, nyie cdm vp au kwa kuwa shekh farid hamumtumii kisiasa?
Nje ya JF wana JF wote ni CDM, ndani ya JF wanaosema ukweli wote ni CDM. Ndio huo waraka uliosambzwa misikitini kuwa haya yote yanasababishwa na CDM unavyowaaminisha? Mnasema adui yenu ni BAKWATA, je CDM ndio waliounda BAKWATA? Nimeamini Uamsho ni Chama cha Siasa sio kikundi cha dini vinginevyo msingepambana na CDM badala yake mngepambana na mfumo kandamizi mnaosema unatokana na serikali
 
Kkiongozi wa dini anasababisha mauaji
Huyu anastahili kunyongwa hadharani mbele ya wake zake na watoto zake
 
Waislam mpo? Viongozi wenu wanatumiwa na mtu kuleta machafuko! Kabla hamjaamua kuleta fujo zozote za kidai haki ni bora mfikirie kwa makini.
 
Yaani sisi MIPINGO akili hatuna kabisa.

Sasa Mwarabu yuko HAPPY na watoto wake nyumbani, wao wananyea debe.....

Na ndiyo kitafuata wakivunja Muungano. Ni Mipingo watafanywa Watumwa wa haohao mabwana zao wa zamani.

Ngozi nyeusi kweli DAMU yetu kali sana maana TUNARITHISHANA vitu vingi sana.
 
Kwa takribani wiki 2 sasa naona wadau humu wanawasifia polisi na kuwaelekeza waue kabisaaaa,,,,,,,,
ila baadae msije kuanza kuwatukana polisi na kuwaona hawafai,,,,,,
sie yetu macho tu hapa,,,mtaanza kutaka tume na kamat ziundwe,,,,,,

As long as ,hoa polisi wanaelekeza mabomu na risasi zao kwa waislamu hapa JF inakubalika...Hii ni kuonesha jinsi gani JF limekuwa JUKWAA LA UNAFIKI...it's a shame !
 
zanzibar kuna mchezo unachezwa,ila chenye mwanzao lazima na mwisho upo
tunaangalia bado!!
 
hili nalo picha jipya.......naona STARING keshastukiwa sasa ni mwendo wa kulipua kambi tu ya maadui.......
 
Mkuu Precise Pangolin
Huyu gaidi inabidi afikishwa kwenye vyombo vya sheria kama noma na iwe ila wasimchekee tena; aunganishwe na mauji ya polisi; na muuaji kama walivyo wauaji wengine.

Chama
Gongo la mboto DSM
Ni kweli mkuu chama hawa ndio wanatuletea uhasama na ndugu zetu Waislamu
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu chama hawa ndio wanatuletea uhasama na ndugu zetu Waislamu

War of interest hakuna uislam APo ata Mimi mwislam ila uyu jamaa ni gaidi na sio islam I'n reality anajua anachotaka weka nondo yeye Na wengine wote wanaohusika alafu weka secret prison no visitors wapewe robbery tu. Unajua sasa ndio Naamini kwanini Nyerere alikuwa dictata nchi bila udicteta unaweza fell au mfalme bila Kuua hadharani haeshimiki ni kweli. Wacha Iwe mbaya weka nondo wanafiki wanaotumia jila la Islam kwa faida yao.
 
Last edited by a moderator:
..hiyo yote ni kujaribu kuvuruga juhudi za wa-ZNZ kujitoa ktk muungano.

..nalaani kitendo kuwakamata na kuwashitaki viongozi wa UAMSHO. naamini kufanya hivyo kutachelewesha kurejeshwa kwa nchi yetu Tanganyika ikiwa dola isiyokuwa na muungano[wa mkataba, katiba,..] na dola yoyote ile.

..wa-Tanganyika tunasema tumechoka kuwapakata wa-ZNZ. hatutaki muungano wa aina yoyote ile na ZNZ.

..muungano uvunjwe tubakiwe na ujirani mwema na ushirikiano kupitia EAC na UN.
 
..hiyo yote ni kujaribu kuvuruga juhudi za wa-ZNZ kujitoa ktk muungano.

..nalaani kitendo kuwakamata na kuwashitaki viongozi wa UAMSHO. naamini kufanya hivyo kutachelewesha kurejeshwa kwa nchi yetu Tanganyika ikiwa dola isiyokuwa na muungano[wa mkataba, katiba,..] na dola yoyote ile.

..wa-Tanganyika tunasema tumechoka kuwapakata wa-ZNZ. hatutaki muungano wa aina yoyote ile na ZNZ.

..muungano uvunjwe tubakiwe na ujirani mwema na ushirikiano kupitia EAC na UN.

Muungano hautavunjwa!Mark my word!ila watakufa watu
 
Back
Top Bottom