mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
polisi wetu hawana mapokezi mazuri kwa raia.
Leo nilikuwa kituo cha polisi nikamsikia polisi mmoja wa kike mwenye namba WP 6010 akimjibu vibaya raia aliyeenda kutoa taarifa kuhusu jambo alikokuwa nalo hata kufikia hatua ya kumwambia kuwa yeye hajamwajiri.
Kitendo hicho kilinisikitisha sana na kuonyesha kwamba sisi raia hatuna haki Kabisa.
Polisi hawa wajirekebishe waache kauli mbeya kwa raia.