Polisi wetu wana vifaa bora vya kazi?!

Polisi wetu wana vifaa bora vya kazi?!

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
amboni.jpg

Source: Mwananchi Communications Ltd

1. Huyo wa katikati anatumia torch kwa style hiyo kweli kama magaidi yamo humo ndani si yanatambua position yake na kuwa target kiurahisi? Hivi kwa nini wasingetumia night goggles? Au night flares?
2. je walikuwa na ramani ya hayo mapango? yaani ni wapi mtu anaweza kupita, na wapi hawezi?
3. je kwa nini wasingetumia gas ya kuwatoa humo ndani kiurahisi?
 
kwanza walipaswa kutumia INFRA RED camera hata kama ni giza wangeweza kuwaona
 
Weledi wao huishia kupambana na raia wasio na silaha wakati wa maandamano. Nje ya hapo ni ushuuzi na intellegensia mfukoni.
 
Virungu, maji washa na mabomu ya machozi ndio silaha zao wanazoziamini sana...
 
amboni.jpg

Source: Mwananchi Communications Ltd

1. Huyo wa katikati anatumia torch kwa style hiyo kweli kama magaidi yamo humo ndani si yanatambua position yake na kuwa target kiurahisi? Hivi kwa nini wasingetumia night goggles? Au night flares?
2. je walikuwa na ramani ya hayo mapango? yaani ni wapi mtu anaweza kupita, na wapi hawezi?
3. je kwa nini wasingetumia gas ya kuwatoa humo ndani kiurahisi?
Wewe inaonyesha umepitia Kazi ya Jeshi Polisi wetu kwa hiyo Picha inaonyesha hawana vifaa hivyo unavyovitaja wanatumia uzoefu wao tu hawa Polisi wetu.
 
Virungu, maji washa na mabomu ya machozi ndio silaha zao wanazoziamini sana...

Nimejikuta naamini kuwa hawako prepared for any serious operations

Wanachojua ni ku-deal na petty crimes

Napata mashaka sana na uwezo wao kulinda usalama wetu. Sio polisi tu lakini hata hawa JW.....wanaremba mwandiko sanaaa....
 
Back
Top Bottom