Nafikiri hujapambanua mambo vizuri; je hali ngumu ya kiuchumi inasababishwa na nini? Je pesa za kulipa Dowans zinapatikana ila za kulipia elimu hazipatikani ehe? Na je kuwa mkweli toka ilivyopandishwa kuwa 5000 mfumuko wa bei umepanda kwa asilimia ngapi?. Na je toka lini na mara ngapi serikali yako ikawa sikivu bila walengwa kugoma au kuandamana au kumwaga damu? Hali mbaya ya kiuchumi inasebabishwa na usimamizi mbovu wa serikali kwa rasilimali za Taifa. Nchi ni tajiri sana tunakosa vipaumbele.You have said it all, lets think again honestly!!
Nkubaliana na mogomo lakini kwa style hii, hapana hata kidogo, wanafunzi wawe realistic na madai yao. Kma wanaona kabs uwezo upo na wananyimwa hali yao na wamefuata diplomatic procedure zote, ikashindikana basi lets go!!!!!!!!!!!!!
Nionavyo mm kwa hali ya uchumi wa nchi na kipindi cha mitihani kilichobaki uvumilivu ni muhimu sana. Hii ni hatari sana kwa taifa kuwa na viongozi wanaogoma. Sikatai mgomo wao lakini uhalisia ni mihimu ukazingatiwa