Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gsana, Feb 4, 2011.

 1. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  WanaJF, salaam!

  Tangu jana kulikuwa na mwendelezo wa vikao vya mgomo na maandamano ya vitivyo takribani vyote main campus, Udsm. Pia inategemewa kujumuisha wana Ardhi University wakigomea kuöngezewa allowance kutoka Tshs. 5,000 mpaka 10,000 kwa siku na madai mengine.

  Tangu jioni ya jana wanafunzi wasiojiusisha na mgomo wamepigwa na aruhusiwi mtu kutoroka kwenda nje ya chuo ili kulazimika kugoma. Pia wamekataa ombi la Uvccm kuigomea Bodi ya mikopo,wamedai kuwa bodi inapokea maelekezo kutoka Serikalini,tatizo ni serikali na wanataka kuandamana kwenda ikulu!

  Pia wametoa madai mazito kuwa viongozi wao wa serikali ya wanafunzi wanalipwa mpaka elf 9 mpaka 10,000 kwa siku ili kuwashawishi kutopaza sauti na ili wazime migomo. Kwa yote haya wanafunzi hawayataki na wanaandamana, hapa mwaka wa pili na wa tatu ndo wanaonekana kuhamasisha.

  Jamani hali si shwari UDSM ktk siku ya leo!
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nendeni mnazi mmoja na mfanye mgomo usio na kikomo!
   
 3. t

  tortoise Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Follow in the footsteps of Tahrir Square. Do not surrender mpaka kieleweke
   
 4. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haya sasa,migomo!maandamano!jk unasemaje?
   
 5. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Safi sana vijana. Get up stand up for your rights, and don't give up the fight!!
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Nasikia UDSM kumelipuka..
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu hivi bongo kuna uongozi wa nchi kweli unaowajibika?
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Watasema kuna mkono wa wapinzani!!!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Hana la kuongea!!!
   
 10. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Tena tunakokwenda hata shule za kata wataanza migomo 2vute muda 2
   
 11. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Migomo sasa imezidi jamani. Inabidi tufanye mjadala wa kitaifa kujadili suala hili la migomo vyuoni.

  hawa wanasiasa uchwara wanataka kuvamia suala la migomo ili kujipatia umaarufu au kuziba udhaifu wa serikali ya chama chao kuongoza nchi hawatusaidii kumaliza migomo zaidi ya kuiendeleza.

  Kwa upande mwingine serikali inasuluhisha kiupendeleo, kuna vyuo wanafunzi wakigoma mawaziri wanaenda wengi tena kwa ndege za kukodi na wakati mwingine anaenda waziri mkuu mwenyewe. Vyuo vingine wakigoma wanaachiwa wayamalize wenyewe. Upande mwingine wanafunzi nao wanachangia migomo.

  Saikolojia ya migomo niliyoiona mimi wakati niko chuo ni kwamba miezi kama hii wakati wanafunzi wengi wameishiwa boom na masomo yamechanganya sana test zinalia kila siku ya UE ndo inakaribia kumalizia semista halafu akaja mtu akakushawishi kugoma, hata kama ni kwa sababu ndogo kiasi gani unakuta watu wanaingia kugoma haraka sana. Uvumilivu unahitajika kwa upande wa wanafunzi ili pia wasome na kumaliza semista kwa wakati.

  Mfano mgomo wa kuongezewa boom kuwa 10,000 ni muhimu lakini hautekelezeki kwa bajeti iliyopo so wangeweka presha kwa serikali ili bajeti ijayo wapewe pesa. Ila kwa ujumla migomo ni mizuri sana kwani inamuonyesha kila mtu kuwa Mkwere ni kiongozi dhaifu kuliko wote waliowahi kuongoza nchi hii, anafikiri kukaa kimya kama kobe itasaidia kumaliza tatizo kumbe ndo linaongezeka.

  Sasa hivi utasikia shule za sekondari zinaanza migomo.
   
 12. Q

  Quick Senior Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tayari wanachuo wapo Revolution square,na route itaanza muda wowote na kupitia Ardhi kuungana na wanachuo wa Ardhi, Mwenge, Posta, hadi kwa Mtoto wa mkulima.
   
 13. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!nafikiri sasa hivi tutakuwa kama Misri na Tunisia!!
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo hakuna tatizo lolote!!
   
 15. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  You have said it all, lets think again honestly!!
  Nkubaliana na mogomo lakini kwa style hii, hapana hata kidogo, wanafunzi wawe realistic na madai yao. Kma wanaona kabs uwezo upo na wananyimwa hali yao na wamefuata diplomatic procedure zote, ikashindikana basi lets go!!!!!!!!!!!!!
  Nionavyo mm kwa hali ya uchumi wa nchi na kipindi cha mitihani kilichobaki uvumilivu ni muhimu sana. Hii ni hatari sana kwa taifa kuwa na viongozi wanaogoma. Sikatai mgomo wao lakini uhalisia ni mihimu ukazingatiwa
   
 16. T

  Tata JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  SMILING as usual.
   
 17. T

  Tata JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Good idea. Naomba sasa uorodheshe hizo "diplomatic procedures" ambazo zilishawahi kutatua matatizo ya makundi mbalimbali ya wanaodai haki Tanzania tukianzia na walimu, wazee wa afrika mashariki, wanafunzi wa vyuo vikuu na wafanyakazi.
   
 18. P

  Pokola JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Napenda sana hali hii. Nakuja huko tuungane madogo zangu!!:clap2::clap2:
   
 19. B

  Baba Tina Senior Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kazi ipo kweli ikulu ni mzigo!!! Ningekua mimi ndo bosi wa ikulu ningeachia nchi nikaendelea kula pensheni.
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  JK hana habari atakuwa bize na toothpick baada ya kula misambusa na chai ya maziwa anaanza kusoma magazeti ya leo ...wala hana habari kabaisa kwamba kuna matatizo ...polisi kama kawaida watasema wana taarifa za kiitelijensia
   
Loading...