Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi

You have said it all, lets think again honestly!!
Nkubaliana na mogomo lakini kwa style hii, hapana hata kidogo, wanafunzi wawe realistic na madai yao. Kma wanaona kabs uwezo upo na wananyimwa hali yao na wamefuata diplomatic procedure zote, ikashindikana basi lets go!!!!!!!!!!!!!
Nionavyo mm kwa hali ya uchumi wa nchi na kipindi cha mitihani kilichobaki uvumilivu ni muhimu sana. Hii ni hatari sana kwa taifa kuwa na viongozi wanaogoma. Sikatai mgomo wao lakini uhalisia ni mihimu ukazingatiwa
Nafikiri hujapambanua mambo vizuri; je hali ngumu ya kiuchumi inasababishwa na nini? Je pesa za kulipa Dowans zinapatikana ila za kulipia elimu hazipatikani ehe? Na je kuwa mkweli toka ilivyopandishwa kuwa 5000 mfumuko wa bei umepanda kwa asilimia ngapi?. Na je toka lini na mara ngapi serikali yako ikawa sikivu bila walengwa kugoma au kuandamana au kumwaga damu? Hali mbaya ya kiuchumi inasebabishwa na usimamizi mbovu wa serikali kwa rasilimali za Taifa. Nchi ni tajiri sana tunakosa vipaumbele.
 
Good idea. Naomba sasa uorodheshe hizo "diplomatic procedures" ambazo zilishawahi kutatua matatizo ya makundi mbalimbali ya wanaodai haki Tanzania tukianzia na walimu, wazee wa afrika mashariki, wanafunzi wa vyuo vikuu na wafanyakazi.

Swali zuri
 
Jamani now we must think,nchi yetu inaelekea wapi? maana kila kona migomo cha ajabu watawala wetu inaonekana hata hawashtuki na hali hii.
 
Haya haya kumekucha, FFU na virungu vyao ndo wanaelekea UDSM, kwema kweli huko?
 
All this impatience, civil unrest, unruly expression is a sign that students (read people) are somewhat restless and waiting to explode. Ni sawasawa na mtoto anayekua rebel, au anakua na anti-social behaviour kwasababu anahitaji japo some sort of attention kutoka kwa wazazi wake.
 
They will kill Us, but they wont tear Us apart!! TUCTA, RAAWU na wengine wanakuja!
 
Ni haki yao ya msingi kabisa, kuna inflation kali wakati posho ni kiasi kile kile miaka minne sasa. Hata huko ulaya (u.k) tulisikia waligoma pia kutokana na madai ya kupinga kuongezewa ada
 
FFU wanapiga mabomu sasa!!! kuwatawanyam, na gari zingine zinaingia kwa kasi ya ajabu....
 
Waongeze na sababu nyingine zinazohusu watanzania wote kwa ujumla; mfano kupanda kwa gharama za maisha, malipo hewa ya dowans, mgawo usio na kikomo wa umeme, n.k. Kwa kufanya hivyo watapata sapoti kubwa ya umma na hii inaweza ikaweka presha kubwa kwa serikali hivyo kuweza kufanikiwa kwa movement hiyo.
 
polisi wetu kwa nini sio wastaarabu, hivi haya matatizo wao hawayapati? hawaigi mifano ya wenzao egypt, polisi for once please use ur brains.
 
This is the only way CCM will listen and tunaona vyombo vinavyo tumia nguvu madarakani siku zote wanaogopa maandamano na hii ndio fundisho lao. Tunawapongeza wanafunzi wote Tanzania kwa kusikia na kuiga Egypt na Tunisia na nchi zingine wanavyopush for changes.

Mjinga gani atakaa nyumbani kwenda kulala wakati serikali yake inawalipa Dowans kampuni hewa na mengi zaidi kuuza makampuni kwao wenyewe kwa kutumia vigezo vya wawekezaji toka nje na hapo hapo kuchukua mikopo serikalini tena ili kuliibia Taifa? Huu ni Utanzania gani?

Taifa lina jengwa na vijana na tunaona kabisa vijana kwenye nchi za kidikteta wanavyo dharauliwa na kutosikilizwa...wasio na kazi nchini asilimia kubwa ni vijana na wengi ndio hawa wapo vyuoni na masekondari kama hii serikali ya JK/CCM wanajali Taifa, ingekuaje badala ya kuinvest Tanzania na kupanua uchumi ili ajira ziongezeke badala yake unataka kuwalipa Dowans na kuendeleza sera za siri humu Tanzania?

Uongozi gani hauni haja ya kuwa wazi na kuonyesha leseni zote na deal za kibisahara Tanzania? au Kuonyesha statements za revenues za nchi na matumizi ya wizara zote? Wanamficha nani? Wanawajibika kwa Nani? This is just an end to CCM Udikteta na hata nguvu za jeshi this time hazita waokoa....
 
Hao ni wahuni wachache wanawalazimisha watu kugoma kwa lazima. Daruso na coet wote hawaungi mkono mgo lkn hao daruso hawawaunganishi wale wanaopinga mgomo na wao kuandamana ili wapambane, mie natamani muuwane wenyewe kwa wenyewe watanganyika. Laana za mungu hizo kupitia kwa nyerere.
 
Good idea. Naomba sasa uorodheshe hizo "diplomatic procedures" ambazo zilishawahi kutatua matatizo ya makundi mbalimbali ya wanaodai haki Tanzania tukianzia na walimu, wazee wa afrika mashariki, wanafunzi wa vyuo vikuu na wafanyakazi.

TATA,

Nakubaliana na wewe kabs kuwa diplomatic procedures hazijawahi kufanya kazi vizuri katika nchi yetu, lakini tata maana yangu ni kuwa huwezi tu ukaamka asubuhi na kusema tugome, hapana unampa mlalamikiwa nafasi ya kujitetea. Ili mgomo uwe mtamu lazima ujiandae kumbana mdaiwa wako asipate pa kujichomokea. Niliuliza hili kwa sababu inaonekana wadogo zangu wanakurupuka, sijawahi (labda sina takwimu za kutosha) kusikia taarifa za vikao, notice nk. kama vyote vimefanyika ohhh give I them my hand!!!

lakini pia muhimu kuwa realistic na madai yako!!! ingawa serikai imewapa watu hasira kusema inalipa DOWANS haraka wakati miradi ya maendeleo inakwama!, pia kwenye bajeti haikuwepo (fedha hazikutengwa)!

wawe stretegic pia kuprioritize madai yao, wajue ni lipi la kudai lini na kwa njia gani!
 
kama gharama za uendeshaji zimepanda kama alivyosema jk kuhusu tanesco kupandisha gharama za umeme, kwanini wanafunzi wasiongezewe hilo bum. besides, pesa zipo ndo maana dowans watalipwa pesa yao haraka.
 
Hao ni wahuni wachache wanawalazimisha watu kugoma kwa lazima. Daruso na coet wote hawaungi mkono mgo lkn hao daruso hawawaunganishi wale wanaopinga mgomo na wao kuandamana ili wapambane, mie natamani muuwane wenyewe kwa wenyewe watanganyika. Laana za mungu hizo kupitia kwa nyerere.

Wewe hako kamshahara na mbia mbili hapo kwenye baa ya uchochoroni ndo vinakuchnganya. Hata hueleweki nini unasema
 
Nafikiri hujapambanua mambo vizuri; je hali ngumu ya kiuchumi inasababishwa na nini? Je pesa za kulipa Dowans zinapatikana ila za kulipia elimu hazipatikani ehe? Na je kuwa mkweli toka ilivyopandishwa kuwa 5000 mfumuko wa bei umepanda kwa asilimia ngapi?. Na je toka lini na mara ngapi serikali yako ikawa sikivu bila walengwa kugoma au kuandamana au kumwaga damu? Hali mbaya ya kiuchumi inasebabishwa na usimamizi mbovu wa serikali kwa rasilimali za Taifa. Nchi ni tajiri sana tunakosa vipaumbele.
Nafikiria Libaba,

Kabla ya kudai nyongeza za fedha lazima kuwe na tiba ya CHANZO CHA matatizo, wanafunzi wanasahau wao kuwa shule kuna watu walioingia garama. (hata mm nimewahi kuwa mwanafunzi wakati fulani) HAWA VINAJANA WANGEKUJA NA MADAI YA KUTIBU CHANZO CHA WAO KUPEWA HELA NDOGO KULIKO HALI HALISI YA MAISHA YA SASA IKIWEMO MFUMUKO WA BEI NK.

WA-ADVOCATE UTAWALA BORA, KUWEKA MSINGI WA VIPAUMBELE VYA TAIFA IKIWEMO ELIMU NK, SIO TU KUDAI NYONGEZA YA HELA!! THATS IS A MERE SYMPTOM!!!!! ILIYO SABABISHA HILI NI NCHI KUKOSA VIPAUMBELE NA KUKOSA UTAWALA BORA NDO MAANA UTAKUTA RAISI ANATEUWA WASHIKAJI WAKE KUSHIKA NYADHIFA MUHIMU KAMA WAKUU WA VYUO AMBAO KUNA MADAI HELA ZA WANAFUNZI ZIKIPELEKWA VYUONI WANAZIZUNGUSHA KWANZA!!, DOWANS NK! HUU NI UGONJWA WA TAIFA NA UNAHITAJI TIBA YA WASOMI NA WNAHARAKATI KUISHINIKIZA SERIKALI KUBADILIKA.
 
hivi hatuezi kutumia mwanaya huu tukawa kama misiri...........yaani tumtoe kabisa huyu jamaa pale magogoni
 
maandamano yamefikia wapi wadau tunapenda kujua na hao askari wameshaumiza wangapi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom